Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia Jukwaa la Elimu humu umepoteaMimi Mwalimu. Almas Rwamiye wa kituo cha kazi Mfuru Secondary iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani naomba kubadilishana kituo na Mwalimu yoyote wa secondary kutoka wilaya za Morogoro Mjini, Morogoro vijijini au Mvomero za Mkoa wa Morogoro. .... Naomba tuwasiline kupitia 0785966721.....0766163613....0654209661.......Ukipata ujumbe mjuze na mwenzako. Asante!!!
Weka phone numberikungi high school john mc' Huduma zote zinapatikana'mpk ofisi za halmashauri zipo hapahapa' very close to Dodoma'
nmekusoma asantePM maana yake ni PRIVATE MESSAGE. Anakuwa na maana kuwa mtafute inbox
Njoo Arusha meru nije Mwanza, Mbeya au pwani
Mwalimu Secondary nipo KILIMANJARO nataka kubadilishana na Mwalimu kutoka IRINGA, Tuwasiliane kwa namba 0759 968318
Mwalimu Secondary nipo KILIMANJARO nataka kubadilishana na Mwalimu kutoka IRINGA, Tuwasiliane kwa namba 0759 968318
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.