Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
Mi natafuta wa kutoka Singida,Karatu au Ngorongoro aje Mtwara 0765070911 sekondariAje SEREGETI MUGUMU niende DAR, PWANI, MOROGORO, KAHAMA, MWANZA.
Tuwasiliane 0628222022Natafuta mwl wa sekondari wa kubadilishana kutoka wilaya za mwanza au kigoma mjini aje wilaya ya Ngorongoro shule ya Embarway.Mawasiliano 0764 735 888.
Ildefonce mwanza halmashauri gani?Nicheki namba hii nna mtu 0762701318
Unatoka halmashauri gani Arusha,na Mbeya unataka halmashauri gani?Jaman, anyetaka kuja arusha mie niende Mbeya, idara sekondari. tuwasiliane 0787 055538