WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu Njoo Singida nije Mikoa ya Kaskazini kama Arusha wilaya yoyote au Kilimanjaro nipate kuungana na..kuihudumia...familia yangu iliopo ARUSHA
idara ni ya Sekondari
Tafadhali namba yangu ni 0769591585
 
Natafuta Mwl wa kubadirishana naye idara ya sec, yeye aje halmashauri ya mji Bariadi na Mimi niende Iringa Manispaa: 0686981054
 
Nipo Mtwara natafuta mwalimu wa kubasilishana nae kutoka Singida au Karatu.idara sekondar 0765070911
 
Jaman, anyetaka kuja arusha mie niende Mbeya, idara sekondari. tuwasiliane 0787 055538
 
Mie natafuta wa kutoka Mbeya mjini, mbozi au momba kuja sumbawanga mjini
 
Mwalimu Njoo Singida nije Mikoa ya Kaskazini kama Arusha wilaya yoyote au Kilimanjaro nipate kuungana na..kuihudumia...familia yangu iliopo ARUSHA
idara ni ya Sekondari
Tafadhali namba yangu ni 0769591585
 
Mwalimu Njoo Singida nije Mikoa ya Kaskazini kama Arusha wilaya yoyote au Kilimanjaro nipate kuungana na..kuihudumia...familia yangu iliopo ARUSHA
idara ni ya Sekondari
Tafadhali namba yangu ni 0769591585
 
Mwalimu Njoo Singida nije Mikoa ya Kaskazini kama Arusha wilaya yoyote au Kilimanjaro nipate kuungana na..kuihudumia...familia yangu iliopo ARUSHA
idara ni ya Sekondari
Tafadhali namba yangu ni 0769591585
 
Njoo wilaya ya KIBONDO

Wewe upo wilaya ipi ili ? Tuangalie uwezekano wa Kubadilishana?
(Idara ya sekondari )

0628222022/0768392836
 
Njoo KIBONDO
Nije Morogoro wilaya yoyote
Idara : Sekondari.

0628222022
 
Back
Top Bottom