WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Jamani wa jf hakuna anaetaka kuja serengeti mi nimepachoka miaka 8 si mchezo niende nyamagana, ilemela, shinyanga au nzega ndg zangu??????????
 
"NJOO MBEYA JIJI NIJE MOROGORO MANISPAA"


wakuu,nina shemeji yangu ni mwalimu wa grade 'A' anatafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka MBEYA JIJI kwenda MOROGORO MANISPAA.hivyo basi yeyote mwenye kuendana na tangazo hili tuwasiliane hapa hapa kwa ama 'PM' au aweke mawasiliano yake mbadala.

akhsanteni.
 
anayetaka kuhamia tunduru idara ya sekondari. kwa aliyetayari 0682136570
 
mwalimu secondari aje wilaya ya Rorya kutoka serengeti , nyamagana, ilemela tuwasiliane
 
Jaman nipo serious nataka nije home kilimanjaro wilaya yoyote njoon singda iramba wilayan kabisaaa kiomboi
 
Aliye tayari kuja kilwa masoko kutoka wilaya yoyote ya mkoa wa Arusha,Manyara au Tanga (mwl wa sekondari) tuwasiliane hapa
 
mke wangu yupo halmashauri ya sengerema mwanza s/msingi abadilishane na mtu anatakiwa kuja nilipo mwanza mjini.akiyetayari tupia hapa
 
Wadau kwa yule anayehitaji tubadilishane aje bagamoyo/chalinze town mi niende kibaha town/mlandiz OR DAR aliyetayari anichek wa pande hizo NIKO MSINGI
 

Jaman wadau kwa yeyote aliyepo mafya, rufiji au mkuranga mm npo kilindi Tanga idara ya msingi, 0766622300!
 
mimi mwalim wa daraja la tatu shule ya msingi ktk mkoa wa lindi mjin natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka wilaya yoyote kutoka mkoa wa Kilimanjaro, mawasiliano 0765004186 au 0654460312,au ntafute kupitia ukurasa wa kimaro.fabian@gmail.com
 

nipo mhuza nipm kama vip 0718547517
 
Tatizo hamuandiki mnafundisha masomo gani. Kubadilishana wanaangalia vitu vingi.
 
Nipo morogoro wilaya ya kilosa mjini, aliepo moro mjini or Dar tubadilishane. Idara ya Sekondari.

Ni tumie Private Messege (PM>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…