Jamanieeh! Njoo hapa Bukoba Halmashauli ya Misenyi Shule Bugandika sec. Km 7 kutoka bk mjini Nauli book kwenda nakurudi 22000. Mimi nije Nyamagana/ Ilemela Mwanza. Piga 0763275320.
Mimi ni mwalimu wa idara ya msingi nipo lushoto natafuta MTU wa kubadilishana naye aje lushoto na mm nije moshi vijijini, rombo, hai au Siha. 0758121353; 0684533627; 0717690221