Amani Lomayani
Member
- Mar 25, 2016
- 16
- 2
Mmmmmmh kweli?? ??? Njoo moro DCAnatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka dar es salaam wilaya yoyote yeye aje sumbawanga mjini.
Aliyetayali awasiliane nami kwa namba 0752279711 au 0658279711 idara secondary
Njoo moro DC mtu wanguMimi nipo aisee natafuta wa kubadilishana nahitaji mtu wa kutoka Morogoro manispaa au hata wilaya ya mvomero akipatikana tuanze mchakato nipo manispaa idara ya ya sekondari
Njoo moro DCCheza Bahat Nasibu
Jaribu kuniconect na mwalimu aliyepo Dar,Kibaha au Moro town aje Tanga jijiiii.zen waweza jishindia zawad adimu toka kwangu. sec.call0713142568
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums

Mi nipo Mwanza nataka kuhamia moro
Only Moro town nawezaNjoo moro DC
Chato ipo wapNJOO CHATO KWA RAIS NIENDE MBEYA 0755659258
Chato ipo wapNJOO CHATO KWA RAIS NIENDE MBEYA 0755659258