WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mm mwl niko mwanga
kilimanjaro.sekondari nataka
kuhamia korogwe mji au kibaha
.cont pm plse
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
 
Dar,kibaha na Moro town ni sawa.mimi nipo Tanga mjin.njoo tubadilishane.idara ni sec.0713142568
 
Ndugu zangu natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje Njombe dc mm niende Makambako mji au Mbozi. Idara Elimu msingi. Mswasiliano. 0764124148/ 0715904249
 
Ndugu zangu natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje Njombe dc mm niende Makambako mji au Mbozi. Idara Elimu msingi. Mswasiliano. 0764124148/ 0715904249Please
 
Back
Top Bottom