Natafuta mtu wa kubadirishana naye kutoka morogoro wilaya yeyote ile,kilwa,pwani na kibaha yeye aje KILINDI TANGA
mwalimu wa elimu msingi niko mkuranga nataka mwalimu wa kubadilishana aliyeko karatu aje mkuranga aliye tayari ani pm.
Sent from my blackberry 9810 using jamiiforums
Mwl aliye mbeya jiji au rungwe aje tubadilishane aje korogwe mjini