WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
NJOO MWANZA, MAGU NIJE TANGA JIJI, HANDENI au KOROGWE. IDARA SEKONDARI. NAMBA 0712773346.
 
Kuna mwl yupo TANGA anataka kwenda Njombe.

Na mwingine kutoka Tanga kwenda Moro (kama unapajua Tanga basi hata Maramba unapajua) check me out via 0767072710 or 0717537310. Come back to your home

Vp Tanga - Mwanza!?
 
TANGAZO LA MASOMO
________________________________________
Mkuu wa Chuo Kikuu cha SAUT Songea (AJUCO) anatangaza nafasi za masomo kwa Mwaka 2015/2016 katika kozi zifuatazo:
1.POSTGRADUATE PROGRAMMES
•Master of Arts in Education Management and Planning (MIAKA 2)
•Postgraduate Diploma in Education (MWAKA MMOJA)

2.DIPLOMA PROGRAMMES
•Diploma in Primary School Teacher Education (MIAKA 2)
•Diploma in Laws (MIAKA 2)
•Diploma in Business Administration (MIAKA 2)
•Diploma in Accountancy (MIAKA 2)
•Diploma in Procurement (MIAKA 2)
•Diploma in Library and Information Studies (MIAKA 2)
•Diploma in ICT (MIAKA 2)

3.CERTIFICATE PROGRAMMES
•Certificate in Laws (MWAKA 1)
•Certificate in Business Administration (MWAKA 1)
•Certificate in Accountancy (MWAKA 1)
•Certificate in Procurement (MWAKA 1)
•Certificate in Library and Information Studies (MWAKA 1)
•Certificate in ICT (MWAKA 1)
•Certificate in Journalism (MWAKA 1)

4.SHORT COURSES
•Basic Journalism (MIEZI 3)
•English Course (MIEZI 3)
•Computer courses
1)Introduction to Computer (WIKI 1)
2)Microsoft Word (WIKI 2)
3)Microsoft Excel (WIKI 2)
4)Microsoft Publisher (WIKI 2)
5)Microsoft Access (WIKI 2)
6)Email and Internet (WIKI 2)
7)Website and Blog Design (WIKI 5)
8)Computer Maintenance and Servicing (WIKI 6)
SIFA ZA MWOMBAJI:
A.Ngazi ya Master’s Degree
•Awe na shahada ya kwanza ya ualimu, kwa ufaulu wa kuanzia Upper Second Class
•Awe na shahada ya ualimu kwa ufaulu wa Lower Second Class, pamoja na uzoefu wa kuanzia mwaka mmoja kazini.
•Awe na Postgraduate Diploma katika Ualimu.
•Awe na Advanced Diploma kwa ufaulu wa kuanzia Upper Second Class.

B.Ngazi ya Digrii
•Form Six (VI) with at least two (2) Principal Passes in relevant subjects.
•Diploma with at least Upper Second Class grade from a recognized institution.

C.Ngazi ya Diploma
•Form Six (VI) with at least One Principal Pass.
•Form IV with Four passes and a relevant certificate from an institution recognized by NACTE.

D.DIPLOMA IN PRIMARY SCHOOL TEACHER EDUCATION
•Grade “A” Certificate in Primary School Teacher Education.
•Form Six (VI) with at least One Principal Pass.

E.Ngazi ya cheti
•Form Four (IV) with at least four passes.

F.Kozi Fupi
•Standard Seven (VII) and above.

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI:
Kwa ngazi za POSTGRADUATE Programmes, Diploma, Cheti na Kozi Fupi, maombi yatumwe moja kwa moja chuoni SAUT-Songea (AJUCO). Fomu za maombi zinapatikana Chuoni SAUT Songea, na kwenye tovuti ya Chuo: www.ajuco.co.tz
Fomu zilizojazwa, zirejeshwe moja kwa moja Chuoni AJUCO, au zitumwe kwa anuani ifuatayo:
Admissions Office
Archbishop James University College (AJUCO)
P.O. Box 466
SONGEA, TANZANIA.

Masomo yataanza tarehe 2 Novemba 2015.

Kwa maelezo zaidi, piga simu namba 0687-535650
 
Back
Top Bottom