WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Nipo goweko halmashaur ya Uyui nahitaji kwenda dodoma manispaa kumuuguza mama
Idara ya sekondari
0767290887
Ama wilaya jirani na manispaa
 
Njoo lushoto idara sec niende moro vjjn,moro mjn,kilosa,mvomero na gairo. 0718412841
 
attention!!!!
jana nlpokea cm namba ngeni akinitaarfu kama bado nahitaji kuhama kwan kuna mwl yupo morogoro manispaa angependa kuja Tarime.akidai yeye ni kaka yake akinipa namba niwasiliane nae.nkampigia huyo anayejiita mwalimu kumuulizia!akadai yeye ashahamia mwanza jiji katika majina yaliyotoka ya vibal maalum septemba 2015.nkamuuliza katumia njia ipi akasema yeye aliunganishwa na mtu wa tamisemi na baadae jina lake likawa mtandaoni.
nikamwomba kama naweza saidiwa akasema nitakutumia namba yake.baada ya kupata namba nkaongea nae akadai ntume detail zangu na sehem ambayo ningependa kwenda.lakin akadai kuna transfer cost 88,000 inabid nmtumie mpesa.nilisita kidogo kwa kumuuliza maswal mengi ambayo aliyajibu.akasema kuna majina yanatoka mwezi huu kabla ya uchaguzi hivyo jina langu ni miongoni.kias hicho hakikunisumbua nkamtumia.sasa yule jamaa wa kwanza hapokei cm na huyu anajiita mwl hayupo hewani.nmebaki na mawasiliano na huyu afisa ambaye anasema nijitaidi kukeep mawasiliano.jaman najiona nmelizwa lakin tahadhar kwa wengine.
ikiwa jina halitatoka nitaanika namba hizo tatu.asanteni

Hata ukizianika tu hizo namba hadi sasa haina shida,umeshapigwa mshikaji. Fuata utaratibu utahama tu kwan walimu wengi wametapeliwa kwa njia hiyo,huyo dada katepeliwa lak8. Mmeshapewa tahadhali epukeni watu kama hao wamo humu humu.
 
KAHAMA - MWANZA.
Mwalimu yuko halmashauri ya mji kahama anatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka mwanza NYAMAGANA/ ILEMELA.

Anaetaka kuhamia kahama mjini kutoka mwanza mjini tuwasiliane
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654425007
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Back
Top Bottom