emma da prince sn
New Member
- Jul 1, 2015
- 3
- 0
Kwa anaetaka kuhamia wilaya ya muleba mm niende mwanza ilemela au nyamagana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anaetaka kuhamia wilaya ya muleba mm niende mwanza ilemela au nyamagana
Nitafute kwenye hii namba 0767207158
attention!!!!
jana nlpokea cm namba ngeni akinitaarfu kama bado nahitaji kuhama kwan kuna mwl yupo morogoro manispaa angependa kuja Tarime.akidai yeye ni kaka yake akinipa namba niwasiliane nae.nkampigia huyo anayejiita mwalimu kumuulizia!akadai yeye ashahamia mwanza jiji katika majina yaliyotoka ya vibal maalum septemba 2015.nkamuuliza katumia njia ipi akasema yeye aliunganishwa na mtu wa tamisemi na baadae jina lake likawa mtandaoni.
nikamwomba kama naweza saidiwa akasema nitakutumia namba yake.baada ya kupata namba nkaongea nae akadai ntume detail zangu na sehem ambayo ningependa kwenda.lakin akadai kuna transfer cost 88,000 inabid nmtumie mpesa.nilisita kidogo kwa kumuuliza maswal mengi ambayo aliyajibu.akasema kuna majina yanatoka mwezi huu kabla ya uchaguzi hivyo jina langu ni miongoni.kias hicho hakikunisumbua nkamtumia.sasa yule jamaa wa kwanza hapokei cm na huyu anajiita mwl hayupo hewani.nmebaki na mawasiliano na huyu afisa ambaye anasema nijitaidi kukeep mawasiliano.jaman najiona nmelizwa lakin tahadhar kwa wengine.
ikiwa jina halitatoka nitaanika namba hizo tatu.asanteni
Nipo kirombero morogoro natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya arusha na moshi. 0659912754
Wa sec yupo Ntambwe ss ~ Lushoto anataka kwenda Mbeya.
Na kuna madam mmoja yupo Kongoi Primary school ~ Lushoto, nitamtafuta km atapenda kurudi kwao Mbeya.
My no 0683436242
Umeshapata mwalimu wa kubadilishana spellan