WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo kagera nije ARUSHA wilaya yoyote.sec
Njoo Kagera nije KILIMANJARO wilaya yoyote,sec
Njoo kagera nije MANYARA wilaya yoyote,sec
NJoo kagera nije TANGA wilaya yoyote,sec
NJOO kagera nije MWANZA wilaya yoote,sec
0712272365,0758165769
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Njoo kagera nije
ARUSHA
KILIMANJARO
MANYARA
TANGA
SEC 0712272365/0758165769
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654425007
 
NJOO SONGEA MKOA WA RUVUMA idara ya Msingi...
NIJE MIKOA HII...
1.MOROGORO.
2.TANGA.
3.PWANI.
4.KILIMANJARO.
mawasiliano.
0787552918.
0713552918.
 
Karibu SONGEA mkoa wa RUVUMA nije PWANI,MOROGORO,TANGA AU KILIMANJARO.
Idara ya msingi.
TUWASILIANE.
0787552918.
0713552918.
 
Salaam!Njoo Ushetu Kahama,nije Iringa wilaya yoyote,Dodoma,Singida,Morogoro na Njombe. 0762226355..
Idara ya Sekondari.
 
IVI WATU wa songea mkoa wa ruvuma hawapo kweli.
Njoo songea mkoa wa ruvuna nije mikoa ya moro,pwani,tanga,dar,kilimanjaro.
MAWASILIANO.
0787552918
0713552918.
 
Back
Top Bottom