WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwal yupo bukoba vijijini,anaomba kubadlshana na mwl kutoka simiyu,manyara au shinyanga!pga 0769027920/0656803210
 
Mimi mwalimu msingi nipo TUKUYU mbeya natafuta mwl wakubadilishana nae kituo cha kazi aliyeko KOROGWE tanga
cont;-0653588522
 
NJOOO HAI KILIMANJARO NIJE MBEYA KWA WILAYA KAMA MOMBA,MBOZI,MBEYA JIJI NA VIJIJINI IDARA SECONDARY NI PM TUONGEE ZAIDI
 
Njoo halmashauri ya mkoa iringa mimi nije pwani wilaya ya mkuranga, kisarawe, bagamoyo, kibaha.... 0653795210
 
mimi mwalimuu idara ya sekondari kutoka MASWA nahitajii mtu.wa kubadilishana nayee MBEYA na wilaya zake zote NJOMBE NA SUMBAWANGA
 
Njoo Kagera nije Kilimanjaro,Arusha au Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Back
Top Bottom