WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Npo MUSOMA
Nije PWANI
DAR
DODOMA
MOROGORO.
0653 351265
0753 629314
0785 077035
Idara ya msingi
 
Mwl yupo Rukwa anatafuta wa kubadilishana na walm uliopo mikoa ya
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
0689976850
 
Mwl yupo kagera idara mcng anatafuta wa kubadilishana na walimu mliopo mikoa ya
Tabora
Dodoma
Morogoro
Iringa
Njombe
MBEYA
Ruvuma
Pwani
Dar
0689976850
 
Aisee kwani humu hakuna wanaotaka kuja Kilwa,Lindi na kusini kwa ujumla!! manake daily naona post za pembeni tuuuu...yaani post za kusini watu wanaziruka kama kinyesi...Duuuu...Kilwa Masoko Idara Secondary..DSM kinondoni itapewa kipao mbele...mmh!!
 
MWALIMU YUPO MASWA ANATAKA KURUDI MBEYA WILAYA YOYOTE JAMANI MSAIDIENI MLIOPO HUKOO IDARA YA SEC 0756945368
 
Kuna mwalimu anatafuta wa kubadilishana, yeye yupo Bukoba anataka kwenda Nzega Tabora. Mawasiliano ni 0712285689
 
Kuna mwalimu anatafuta wa kubadilishana, yeye yupo Bukoba anataka kwenda Nzega Tabora,idara sekondari. Mawasiliano ni 0712285689
 
Njoo MUSOMA
Nije PWANI
DAR
DODOMA
MOROGORO
SINGIDA(m)
0785 077035
0653 351265
0753 629314
Idara ya msingi
 
Ina maana hamna wanaotaka kutoka dar es salaam kwenda mbeya igurusi idara ya msingi? Wa dar kumenoga au?
 
naitwa Ngwaya, ni Mwl wa shule ya sekondari mnazi halimashaur ya lushoto/tanga nahtaj kubadlshana ktuo cha kaz na Mwl yeyote, yy aje lushoto mm niende IRINGA au MBEYA, lakn irnga km atakuepo wa irnga ni bora zaid sababu nahtaj nwe karbu na familia yngu kwan tsd no ninayo, lakn kubadlshana ktuo cha kaz cha msng au kigezo kikubwa uwe na
chek no.karbun lushoto
 
Back
Top Bottom