WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
JAMANI WANA JF,KARIBUN KIGOMA,LKN KWA MWALIMU WA KUTOKA MOJA YA MIKOA IFUATAYO;

1),IRINGA
2),TANGA
3),PWANI
4),LINDI
5),MTWARA.
KAMA KUNA MWALIMU TOKA PANDE HIZO,AKIONA VYEMA ,TUBADILISHANE.
IDARA----MSINGI.

MAWASILIANO ;
0786-172992.
 
Njo tubadilishane niko mbeya vijijin eneo mbalizi ni mjin huduma zote zipo kama uko arusha, kibaha ,dar, kilimanjaro ,karatu, chalinze, tanga njo tubadilishane idara msingi 0768538382
 
Je wewe ni Mwalimu? na unasumbuka kutafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi? Usiwe na shaka si tatizo tena, ingiawww.hamafasta.com jisajili kisha tafuta Mwalimu mwenzio mbadilishane vituo vya kazi BUREEEE, Ni rahisi kiasi hicho, hamafasta.com

VITU VYA KUZINGATIA

ZINGATIA: Wakati wa kujisajili zingatia usahihi wa majina ya mikoa na wilaya, jaza mkoa mmoja na wilaya moja unayotaka kuhamia, baada ya kujisjili utakua na uwezo wa kuongeza mikoa na wilaya ambazo unahitaji kwenda. Kufanya hili kwa umakini kutakurahisishia kupata mtu wa kubadilishana nae automatically bila ku search.

1)Jisajili (kama bado huja jisajili)

2)Baada ya kujisajili moja kwa moja utapelekwa kwenye account yako, Walimu wote walio jisajili katika system wataanza kuona Tangazo lako,
Vile vile utaanza kuona matangazo ya walimu wengine wanaoendana na mahitaji yako upande wa uhamisho.

3) Unaweza kuongeza mikoa/wilaya ambayo/ambazo ungependa kuhamia kwa kubonyeza "MPANGILIO" juu upande wa kulia katika system.

4)Unaweza kutafuta mwalimu wa kubadilishana kwa kujaza mkoa au/na wilaya unaohitaji/unayohitaji kupitia search box zilizopo upande wa kulia wa system.

5)Jaribu kutembelea www.hamafasta.com walau mara mbili kwa siku ili kuweza kujihakikishia uwezekano mkubwa wa kupata mtu wa kubadilishana nae kituo, Hii ni kwa sababu Takribani kila baada ya muda mfupi waalimu wanazidi kujiunga na mtandao huu, hivyo basi usikate tamaa ukikosa mtu kwa mara ya kwanza.

6) Mwisho Huduma hii ni BURE KABISA, unaweza kuchangia kwa hiari yako.


hamafasta.com Tupo kukusaidia mwalimu

Tunapokea maoni na ushauri wako pia.
13495226_1218161221551070_5510399028930487400_n.jpg
13502558_1218161241551068_8897273677534955553_o.jpg
13521855_1218161194884406_6805730817228339438_n.jpg
13557923_1218161174884408_1235910422837340274_n.jpg
comment.PNG
 
kuna yule mtu ambae yuko lushoto anataka kuha100 Tukuyu nimepoteza contact zake.. km vp anicheki.. zile mishe nilizokuwa nazisubilia ziko poa kwa sasa...
 
NJOO (Kilindi)TANGA NIJE BUSEGA,BARIADI,CHATO,MAGU,MISUNGWI,au KWIMBA.Idara sec,na:0683067511/0769325378
 
Mwl npo Kagera ninatafuta mwl wa kubadlshana idara n msingi ili niende mikoa ifuatayo
Mwanza
Shnyanga
Kigoma
Tabora
Singda
Dodoma
Katavi
Rukwa
Mbeya
Songe
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Pwan
Dar
Tanga
Mtwara
Lindi
Ruvuma
0789131144
 
NJOO (Kilindi)TANGA NIJE BUSEGA,BARIADI,CHATO,MAGU,MISUNGWI au KWIMBA.Idara sec,na:0683067511/0769325378
 
NJOO (Kilindi)TANGA NIJE BUSEGA,BARIADI,CHATO,MAGU,MISUNGWI au KWIMBA.Idara sec,na:0683067511/0769325378
 
Back
Top Bottom