Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta mtu wa kubadilishana aje Ngara kagera mi nije ukerewe mwanzaWewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
njoo rungwe KIWIRA SEC,nije mbeya jiji au mbeya vijijin!nicheki 0762815309
Kama upo IDARA msingi nicheck inbox Nipo ChalinzeNjoo morogoro gairo nije chalinze au kibaha
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Njoo pwani wilaya ya MafiaNjoo morogoro gairo nije chalinze au kibaha
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Nicheki hapa 0719924456Kama upo IDARA msingi nicheck inbox Nipo Chalinze
Njoo arushanjoo rungwe KIWIRA SEC,nije mbeya jiji au mbeya vijijin!nicheki 0762815309
Njoo kwimba idara ya mcngi.0754-384094njoo mkuranga-pwani,nije:1.nyamagana,ilemela au misungwi-mwanza,aliyetayari tuwasiliane.mimi ni mwalimu wa shule ya msingi.
Nami naskia hivyoJamani nasikia vibali vya uhamiaho vimetoka kuna ukweli wowote?
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Jamani mungu awafungue hawa wenye nchi watukumbuke nasisi tulio chini ya mti mkavu. Tuombe iwe kweli maana duuNami naskia hivyo