WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo sumbwanga manispaa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Idara elimu secondary nipo sumbawanga mjini, uko wapi tubadilishane?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Natafuta mtu wa kubadilishana aje Ngara kagera mi nije ukerewe mwanza
 
Njoo iringa manispaa nije dodoma manispaa.. idara ya sekondar

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
njoo rungwe KIWIRA SEC,nije mbeya jiji au mbeya vijijin!nicheki 0762815309
 
Njoo kwimba nije morogoro wilaya yoyote.Elimu mcng.0754-384094

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Oya upon rungwe? Njoo tupeane ushauri Mimi kwa mida nipo Ilolo ila kikazi Sumbawanga unaweza ukanipa ushauri namna ya kurudi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom