WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Ivii samahani nmetoka nje ys mada ..ivi 1v ya 28 unaweza ukasomea ualimu ata kwenye vyuo va private
 
ukisikia mtu anasoma private chuo siyo kwamba anasifa za kufeli,NO alikosa nafasi goverment tu..sifa ni zile zile tu boss.kwa kifupi ni hakuna hiyo 28 hata kwenye chuo cha kwenye andaki mbali na private hasomi.
Ivii samahani nmetoka nje ys mada ..ivi 1v ya 28 unaweza ukasomea ualimu ata kwenye vyuo va private
 
Jamaani nahitaji mtu wa mkoa Kagera aliyepo Wilaya za Makete na Ludewa awe mwalimu sekondari masomo ya geography na kiswahili. Nahitaji kurudi kusini aje Biharamulo. Ni PM.
 
FROM A FRIEND:-

Afisa kilimo II, Njoo MBEYA yeye aje IRINGA.

Anamfata Mumewe.

Ni PM NIWAUNGANISHE.

Sorry for INCONVENIENCE.

#YNWA.
 
Back
Top Bottom