WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Kwa mwalimu idara ya sekondari PHYSICS AND MATHEMATICS au hata PHYSICS CHEMISTRY,anaetaka kuja kwao kanda ya ziwa Tanganyika Mkoa wa KIGOMA kijiji kipo eneo la mwendo wa saa1 kufika Kigoma mjini.

Aje kwao mimi nije mikoa ya IRINGA,MOROGORO,MBEYA,MAKAMBAKO MJI. Karibu Tubadilishane mahitaji muhimu kwangu juu ya uhamisho na vigezo ninavyo!!
 
Nipo Mbinga, Ruvuma nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae aje huku mimi niende Tanga au moshi Kilimanjaro
Contact: 0745529919/0739529919
 
Habari walimu wenzangu, nahitaji mtu wa kubadilisha naye awe anatoka moshi vijijini idara ya sekondari.
Aje Marangu- Kisangiro mi nihamie shule aliyopo iliyo karibu na moshi mjini.

Sababu za kuhama ni afya na kifamilia; gharama za uhamisho nitagharamikia. Njoo inbox uniambie shule uliyopo; na umbali kutoka Moshi mjini au maeneo ya Mabogini.
Pia km uko Moshi manispaa ni sawa tu nitagharamikia uhamisho wako.
Njoo PM km utakua muhusika
 
Back
Top Bottom