WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni Mwalimu wa Sekondari Mkoani Arusha,natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae Vituo vya KAZI,mimi niende Mkoa wa Rukwa na yeye aje Mkoa wa Arusha,ninafundisha masomo ya Arts,kwa aliye tayari tafadhali aje PM kwa mawasiliano zaidi,asante
 
Kuna mahala nimeliona

Tangazo: natafuta wa kubadilisha kituo idara ya elimu sekondari aje mbeya mji mdogo wa mbalizi nauli 450/= mpaka mbeya jiji nije morogoro manispaa
Mawasiliano 0717 370274
0625 761228
Kwani mnabadilishana shule au halmashauri?
 
Back
Top Bottom