WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Amani iwe nanyi,
Mimi ni mwajiriwa wa serikali kwenye sekta ya elimu. Nahitaji kuhama mkoa bila kutumia njia yakubadilishana vituo, hivyo kama(naamini) yupo member humu anaeweza kunisaidia naomba ajitokeze anisaidie. Maelezo na mahitaji mengine tutapeana baada ya kuwasiliana.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa atakaeweza kunipa msaada huo muhimu kwangu.
 
Late as you know me!

So what and where the occasion it is so Buddha!

Say and promise if it’s real hapa Dar au tuanze tafuta nauli sasa hapa inabidi...🛫🛫

We should fly for just a meaning as you know 🤣🤣🤣
 
Late as you know me!

So what and where the occasion it is so Buddha!

Say and promise if it’s real hapa Dar au tuanze tafuta nauli sasa hapa inabidi...[emoji928][emoji928]

We should fly for just a meaning as you know [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msata Kilingeni [emoji23] [emoji1545][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom