WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi mwalimu wa kigonsera sekondari wilayani mbinga mkoani Ruvuma, natafuta mwl wa kubadilishana naye kutoka wilaya kyela, rungwe, mbeya mjini au mbeya vijijini. kwa aliye tayari tuwasiliane kwa 0764122433 au 0714672275.
 
Natumai uu mzima wa afya. Katika ajira za mwaka huu nimepangwa wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani. Nilikuwa naomba kama kuna mwalimu angependa tubadilishane kituo yeye aje Mkuranga na mimi niwe dar wilaya yeyote au Pwani wilaya ya Bagamoyo au Kibaha ani PM

Asante
 
Toa sababu 20 zinazokufanya utake kuhama huko mkuranga?
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya UKEREWE- MWANZA natafuta mtu wa kubadilishana nae. Awe katiya wilaya za mkoa wa Dar es salaam, Arusha, moshi, kibaha, Bagamoyo, Moro manspaa, moro vijiji, Tanga nk:
kama upo tayar plz tuwasiliane kwa simu namba 0769765400

nipo Ukerewe mwanza
 
nakushauri andika barua kama unasababu maalum uombe nafasi huko unakotaka kuhamia halafu ukikubaliwa maombi peleka TAMISEMI badala ya kutumia huo utaratibu, jaribu hilo utafanikiwa

Ni wazo zuri na tayr nishalifanyia kaz ila mkurugenz ameniambia nitafute m2 wa kubadilishana nae coz hawataki pengo.
 
mimi ni mwalimu wa sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka mikoa ya MOROGORO,TANGA.KILIMANJARO,ARUSHA,MANYARA,MBEYA. aje KILWA
 
Habari wana Jf,
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aliye Dar es salaam aje Njombe mjini.Kwa anayeitaji tuwasiliane kwa namba
# 0767953790
 
mimi nko meajiriwa lindi wilya ruangwa naomba mtu wa kubdishna awe anatka mara mwanza geita arusha moshi na shinyanga tuasliane 0763207529 au 0688535510 kumbka iko km 10 ktka rwangwa mjin ni shule ya msing
 
Ninaitwa mwl lilian f. Soka wa shule za msingi mkoa mwanza, shule misasi wilaya ya misungwi.
ninahitaji mwalimu yoyote wa kubadilishana nae kituo cha kazi
aliye mkoani arusha wilaya ya meru, arusha (v) na manispaa

kwa yoyote aliye tayari
kwa mawasiliano zaidi no zangu za simu

0719732822 au
0754956953
 
Back
Top Bottom