Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbogolo acha kutusi makabila ya wenzio uliza mhazn mkuu wa jesh tz ni nan kama co mmatengo, chezea wamatengo ww!!!Kaka mi nakushaur uache kazi tu!!
Mimi mwalimu wa sekondari niko wilayani tunduru- ruvuma natafuta mwalimu wa sekondari wa kubalishana nae kituo cha kazi. awe anatoka mbinga, songea, njombe morogoro au mbeya. kwa mawasiliano zaidi tumia 0682136570.
unayo namba ya mwalim yoyte wa ifakara sec??Mi nipo shinyanga vijijini nataka kuhamia ifakara. Morogoro.
Mwalimu idara ya sekondari, anayetaka kuja mbeya halmashauri ya Rungwe/Busokelo, niende tanga mjini/korogwe/muheza au Dodoma mjini. tuwasiliane hapa 0683436242/0765582366
mimi nipo kinondoni dsm nataka kuhamia mtwara,songea au lindi pamoja na iringa au mbeya
Njoo Singida Manispaa Mi Nije Rungwe
Uko serious? kuna mdogo wangu anataka kuhamia Dar toka Mbeya,mimi nipo kinondoni dsm nataka kuhamia mtwara,songea au lindi pamoja na iringa au mbeya
Wakuu mi nipo mwandiga kigoma kwa wakina Zitto, nataka nihamie mpwapwa kwa juma Nkamia, ni mwalimu wa msingi no# yangu ni 0756231589,
unaweza kufanya mabadiliko bila Tsd no? au sehemu nyingne tsd tayari? kwa wale wa ajira mpya
Mi npo chalinze pwani naitaji kuhamia kibaha au dar
mimi nipo kinondoni dsm nataka kuhamia mtwara,songea au lindi pamoja na iringa au mbeya