Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Wengi ni wale wa four na zero
 
Ukweli mtupu, wote niwale waliokuwaga vilaza, tulikuwa tunawaburuza class wanashika mkia
Last week nilienda shuleni kwa dogo baada ya kupitia mitihani yake nikagundua amekoseshwa swali ambalo lilikuwa linauliza idadi ya mikoa ya Tz bara.

Dogo alipata jibu sahihi lakini mwalimu alimkosesha. Nilipofika nikamuuliza kwanini amemkosesha wakati jibu ndo lenyewe lakini akang'ang'ana kwamba jibu sio sahihi.

Kiukweli nilihuzunika mno swali rahisi kama lile mwalimu hakuwa aware nalo sasa vipi kuhusu maswali magumu.

Alitokea mwalimu mwingine ndo akaniunga mkono kwamba jibu ni sahihi ndo akarekebisha.

Ni maswali mengi huwa nikikagua nakuta wamewakosesha sometimes nawapigia simu kuwaambia waangalie vizuri swali fulani na wanafanya hivyo.

Sasa mwalimu kama huyu ndo anafanya taaluma idharaulike.
 
Hii kada unatakiwa uwe na akili kama za nguchiro ndo unaweza kudumu hata miaka mitano , mwenye akili timamu hawezi fanya hii kazi zaidi ya mwaka
Mkuu chukua pepsi utamkuta manka mwambie akupe iliyoganda [emoji23]
 
Kuwa na connection na hawa walimu ni kujitia nuksi tu na kuleta umaskini ndani ya familia na ukoo...mimi sitakagi mazoea NAO kabisa
 
Ungemuona Dr wa akili pengine ingekusaidia mara hii
 
Kuwa na connection na hawa walimu ni kujitia nuksi tu na kuleta umaskini ndani ya familia na ukoo...mimi sitakagi mazoea NAO kabisa
Hata wewe hutakagi mazoea nao [emoji23][emoji23][emoji23], mm nimeblock wote maana kila simu nikipigiwa za hawa kuku nikuomba pesa tu wana njaa haloo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walimu wote vilaza mkuu, mtihani wanatunga wao ila ukiwaambia wafanye hata wao wanafeli sema tu kinachowasaidia wanakuwa na marking scheme tena wanataka definition iwe Ile Ile usiweke nyingine vinginevyo unachezea mkasi
 
Nasikia kuwa pesa ya likizo mwalimu huwekewa kwenye malimbikizo yake
Hii nilimsikia mwalimu mwenyewe, nilishangaa sana.
Yaani haiwezekani wakalipwa kabla ya kuanza likizo kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma.
 
Nasikia kuwa pesa ya likizo mwalimu huwekewa kwenye malimbikizo yake
Hii nilimsikia mwalimu mwenyewe, nilishangaa sana.
Yaani haiwezekani wakalipwa kabla ya kuanza likizo kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma.
Mkuu hawa watu kama nguruwe
 
Walimu kama hoja za Mpwayungu ni za kweli na nyie endeleeni kutoa malalamiko kwa mamlaka husika na sio kupingana na Mpwayungu. Kiukweli mnastahili heshima kubwa kuliko mliyonayo.

Famchezo nini 😎
Kufundisha SI jambo dogo,
Respect kwa walimu wote,
Standing Allowance for the teachers 💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…