Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
mpwayungu village unakosea sana ,ukitupacho wewe kwa wengine ni dhahabu
Waache walimu waishi maisha yao
Waache walimu waishi maisha yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsee labda nilogwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kila dalili kuwa wewe ni mwalimu unatafuta pa kutolea stress.
Pambana na hali yako tu ndio ajira uliyochagua.
Maisha ya nguruwe pori [emoji28][emoji28][emoji28]mpwayungu village unakosea sana ,ukitupacho wewe kwa wengine ni dhahabu
Waache walimu waishi maisha yao
PointlessUlitolewa malinda na mwalimu?
Uache kutamani kuwa mwanamke,fanya maombi
Wengi ni wale wa four na zeroKiukweli katika maisha yangu sijawahi kuona mwanafunzi aliyefaulu division one ama two iwe O' level ama advance then akachagua kwenda ualimu.
Wote ni wale waliofeli kwenda course za ndoto zao wakaona hawana namna zaidi ya kwenda ualimu kwakuwa ndo fani inayochukua kilaza yeyote bila ubaguzi.
Huu ndo ukweli sio kwamba tunawachukia walimu hapana.
Last week nilienda shuleni kwa dogo baada ya kupitia mitihani yake nikagundua amekoseshwa swali ambalo lilikuwa linauliza idadi ya mikoa ya Tz bara.Ukweli mtupu, wote niwale waliokuwaga vilaza, tulikuwa tunawaburuza class wanashika mkia
Mkuu chukua pepsi utamkuta manka mwambie akupe iliyoganda [emoji23]Hii kada unatakiwa uwe na akili kama za nguchiro ndo unaweza kudumu hata miaka mitano , mwenye akili timamu hawezi fanya hii kazi zaidi ya mwaka
Kuwa na connection na hawa walimu ni kujitia nuksi tu na kuleta umaskini ndani ya familia na ukoo...mimi sitakagi mazoea NAO kabisaI swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.
Walimu jitambueni, haiwezekani mkawa mnachangishwa Mbio za Mwenge huku serikali inatoa mabilioni kusaidia watu wa Uturuki na Malawi. Hivi akili zenu zipoje jamani, kwani mlipandikiziwa nini?
Sitaki kabisa mazoea na nyinyi, na kuanzia sasa naingia kwenye jukwaa la education kuna uzi wa walimu kubadilishana id's zote za kule nablock kwenye ukrasa wangu, nablock walimu wote kila mtandao mpaka Whatsapp, yaani applications zote nawablock hawa watu. Ni waoga mpaka napata mashaka na elimu yao.
Ungemuona Dr wa akili pengine ingekusaidia mara hiiI swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.
Walimu jitambueni, haiwezekani mkawa mnachangishwa Mbio za Mwenge huku serikali inatoa mabilioni kusaidia watu wa Uturuki na Malawi. Hivi akili zenu zipoje jamani, kwani mlipandikiziwa nini?
Sitaki kabisa mazoea na nyinyi, na kuanzia sasa naingia kwenye jukwaa la education kuna uzi wa walimu kubadilishana id's zote za kule nablock kwenye ukrasa wangu, nablock walimu wote kila mtandao mpaka Whatsapp, yaani applications zote nawablock hawa watu. Ni waoga mpaka napata mashaka na elimu yao.
Hata wewe hutakagi mazoea nao [emoji23][emoji23][emoji23], mm nimeblock wote maana kila simu nikipigiwa za hawa kuku nikuomba pesa tu wana njaa haloo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuwa na connection na hawa walimu ni kujitia nuksi tu na kuleta umaskini ndani ya familia na ukoo...mimi sitakagi mazoea NAO kabisa
Walimu wote vilaza mkuu, mtihani wanatunga wao ila ukiwaambia wafanye hata wao wanafeli sema tu kinachowasaidia wanakuwa na marking scheme tena wanataka definition iwe Ile Ile usiweke nyingine vinginevyo unachezea mkasiLast week nilienda shuleni kwa dogo baada ya kupitia mitihani yake nikagundua amekoseshwa swali ambalo lilikuwa linauliza idadi ya mikoa ya Tz bara.
Dogo alipata jibu sahihi lakini mwalimu alimkosesha. Nilipofika nikamuuliza kwanini amemkosesha wakati jibu ndo lenyewe lakini akang'ang'ana kwamba jibu sio sahihi.
Kiukweli nilihuzunika mno swali rahisi kama lile mwalimu hakuwa aware nalo sasa vipi kuhusu maswali magumu.
Alitokea mwalimu mwingine ndo akaniunga mkono kwamba jibu ni sahihi ndo akarekebisha.
Ni maswali mengi huwa nikikagua nakuta wamewakosesha sometimes nawapigia simu kuwaambia waangalie vizuri swali fulani na wanafanya hivyo.
Sasa mwalimu kama huyu ndo anafanya taaluma idharaulike.
Duh... Unamuandama sana mpwayungu village [emoji28][emoji28]Huyu asikuumize kichwa
Kwanza hapo alipo anatamani kuwa mwanamke Ili apate kamseleleko
Oneni hali za hao kuku manina dah [emoji22]View attachment 2567479
View attachment 2567480View attachment 2567481
Hii kada inahtaji maombi , hii kada ni allowance za watu
Mkuu hawa watu kama nguruweNasikia kuwa pesa ya likizo mwalimu huwekewa kwenye malimbikizo yake
Hii nilimsikia mwalimu mwenyewe, nilishangaa sana.
Yaani haiwezekani wakalipwa kabla ya kuanza likizo kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma.
Unamaanisha ni allowance za watuView attachment 2567479
View attachment 2567480View attachment 2567481
Hii kada inahtaji maombi , hii kada ni allowance za watu