Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Ni kweli hii kada ina changamoto nyingi mno kiasi kwamba hata mwalimu mwenyewe anajuta Kwa Nini alisomea ualimu

ila namna unavyopresent MADA zako, it's unfair kabisa.


Hakuna mtu anayependa afanye kazi isiyoheshimika au isiyo na maslahi, ni changamoto TU za kimaisha ambazo zinawalazimisha watu wafanye


Hadi unamuona mtu amekubali kufanya kazi hiyo ina maana asingefanya Hivyo may be mambo kwake yangekuwa magumu zaidi

Jitahidi kutumia lugha ya staha na yenye ushawishi.


MWISHO

Walimu pia tuna haja ya kubadilika, inabidi tuwe na misimamo

Haiwezekani diwani/mwalimu mkuu aje kukutetemesha,


Pia Kuna haja ya kujifunza au kufanya shughuli nyingine tofauti na ualimu na zikisimama acha kabisa ualimu.
 
Hapo mwisho umeongea point kubwa sana mkuu, walimu waamke kumekucha
 
Walimu ni mazezeta yaliyo changamka
 
Upo sahihi, na unaijua kada hii vizuri sana. Walimu wanaonewa sana na hivi ajira zimekuwa ngumu. Ni shida tupu, hawana mtetezi. Asilimia kubwa hawaipendi kazi, ni vile tu hawana jinsi. Hata wakijitokeza kutetea haki yao, watapigwa ban ya mshahara. Wengi hawana vyanzo vingine vya mapato, wanabaki kuwa kondoo, so sad! Ushirikiano 0%, unafiki, fitina, na kusalitiana-100%.
 
Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara

Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…