Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mwalimu mwenye msongo wa mawazoChizi wewe achana na mm fata maisha yako hunijui sikujui
Ni kweli hii kada ina changamoto nyingi mno kiasi kwamba hata mwalimu mwenyewe anajuta Kwa Nini alisomea ualimuI swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.
Walimu jitambueni, haiwezekani mkawa mnachangishwa Mbio za Mwenge huku serikali inatoa mabilioni kusaidia watu wa Uturuki na Malawi. Hivi akili zenu zipoje jamani, kwani mlipandikiziwa nini?
Sitaki kabisa mazoea na nyinyi, na kuanzia sasa naingia kwenye jukwaa la education kuna uzi wa walimu kubadilishana id's zote za kule nablock kwenye ukrasa wangu, nablock walimu wote kila mtandao mpaka Whatsapp, yaani applications zote nawablock hawa watu. Ni waoga mpaka napata mashaka na elimu yao.
Kumbe aliwahi kujuta kuwa mwanaume? Duh [emoji24][emoji24][emoji24]Umeacha kujuta kuzaliwa mwanaume?
Hapo mwisho umeongea point kubwa sana mkuu, walimu waamke kumekuchaNi kweli hii kada ina changamoto nyingi mno kiasi kwamba hata mwalimu mwenyewe anajuta Kwa Nini alisomea ualimu
ila namna unavyopresent MADA zako, it's unfair kabisa.
Hakuna mtu anayependa afanye kazi isiyoheshimika au isiyo na maslahi, ni changamoto TU za kimaisha ambazo zinawalazimisha watu wafanye
Hadi unamuona mtu amekubali kufanya kazi hiyo ina maana asingefanya Hivyo may be mambo kwake yangekuwa magumu zaidi
Jitahidi kutumia lugha ya staha na yenye ushawishi.
MWISHO
Walimu pia tuna haja ya kubadilika, inabidi tuwe na misimamo
Haiwezekani diwani/mwalimu mkuu aje kukutetemesha,
Pia Kuna haja ya kujifunza au kufanya shughuli nyingine tofauti na ualimu na zikisimama acha kabisa ualimu.
Ngoja nikuacheWe ni mwalimu mwenye msongo wa mawazo
Walimu ni mazezeta yaliyo changamkaI swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.
Walimu jitambueni, haiwezekani mkawa mnachangishwa Mbio za Mwenge huku serikali inatoa mabilioni kusaidia watu wa Uturuki na Malawi. Hivi akili zenu zipoje jamani, kwani mlipandikiziwa nini?
Sitaki kabisa mazoea na nyinyi, na kuanzia sasa naingia kwenye jukwaa la education kuna uzi wa walimu kubadilishana id's zote za kule nablock kwenye ukrasa wangu, nablock walimu wote kila mtandao mpaka Whatsapp, yaani applications zote nawablock hawa watu. Ni waoga mpaka napata mashaka na elimu yao.
Ana faili lake pale Mirembe na Ndugu yake BWANA ndugai,Huyu jamaa inatakiwa apelekwe MIREMBE
Come down man!kama kuna shida unasema tunabebana ,it seems something is not okNgoja nikuache
Oya [emoji23]Walimu ni mazezeta yaliyo changamka
Yale makopo hayana ata mwanga [emoji28]Wana vishikwambi siku hizi ujue.
wewe ni tichaYale makopo hayana ata mwanga [emoji28]
Aache kuwasakama walimuDuh... Unamuandama sana mpwayungu village [emoji28][emoji28]
Unasababisha anaruka post zako[emoji1787][emoji1787]