Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Hhhahaha wengi wanaropoka tu hawajui kitu
Yani unakuta Mwalimu wiki nzima anatoka kazini saa 12, hapo haishi nyumba ya shule, hajaenda lunch na hajui Kama ana haki ya saa nzima ya kwenda lunch, akitoka hapo Jumamosi kaita wanafunzi waje shuleni🤣🤣 mnawafundisha nini hasa ambacho hawakielewi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 8.30?
Eti muda wa ziada, muda wa ziada ni hiyari sio lazima.....walimu tusipojielewa tutadharauliwa Hadi na sisimizi.
 
Ahse poleni dear
 
Madam we ni mwalimu!?

Mbona miye sizioni hizo changamoto unazoziandika wewe na huyo idol wako mpwayungu village
 
Na hii kiki siyo endelevu

Twende kazi

Tulimwwngusha JPM itakuwa huyu kapuku mnuka shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…