Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Hhhahaha wengi wanaropoka tu hawajui kitu
Yani unakuta Mwalimu wiki nzima anatoka kazini saa 12, hapo haishi nyumba ya shule, hajaenda lunch na hajui Kama ana haki ya saa nzima ya kwenda lunch, akitoka hapo Jumamosi kaita wanafunzi waje shuleni🤣🤣 mnawafundisha nini hasa ambacho hawakielewi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 8.30?
Eti muda wa ziada, muda wa ziada ni hiyari sio lazima.....walimu tusipojielewa tutadharauliwa Hadi na sisimizi.
 
Yani unakuta Mwalimu wiki nzima anatoka kazini saa 12, hapo haishi nyumba ya shule, hajaenda lunch na hajui Kama ana haki ya saa nzima ya kwenda lunch, akitoka hapo Jumamosi kaita wanafunzi waje shuleni[emoji1787][emoji1787] mnawafundisha nini hasa ambacho hawakielewi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 8.30?
Eti muda wa ziada, muda wa ziada ni hiyari sio lazima.....walimu tusipojielewa tutadharauliwa Hadi na sisimizi.
Ahse poleni dear
 
Yani unakuta Mwalimu wiki nzima anatoka kazini saa 12, hapo haishi nyumba ya shule, hajaenda lunch na hajui Kama ana haki ya saa nzima ya kwenda lunch, akitoka hapo Jumamosi kaita wanafunzi waje shuleni🤣🤣 mnawafundisha nini hasa ambacho hawakielewi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 8.30?
Eti muda wa ziada, muda wa ziada ni hiyari sio lazima.....walimu tusipojielewa tutadharauliwa Hadi na sisimizi.
Madam we ni mwalimu!?

Mbona miye sizioni hizo changamoto unazoziandika wewe na huyo idol wako mpwayungu village
 
Naona umeamua kutumia kivuli cha walimu ili upate ku-trend jf. Unajidhalilisha tu kwa maoni yangu.

Wengi tusingekuwa hapa kama sio walimu, hata hivyo mbona kada nyingi tu watu hawana hizo pesa, mbona lawama kwa walimu pekee. Hapo ulipo account yako inasoma shilingi ngapi mkuu?
Na hii kiki siyo endelevu

Twende kazi

Tulimwwngusha JPM itakuwa huyu kapuku mnuka shida
 
Back
Top Bottom