Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Kama hyo 500k ni nyingi,mbona mnamaisha magumu sana...
Mikopo,bond,kuombaomba mnaongoza nyie walimu..
Halafu kazi gani hyo kila siku matukio ya kutatanisha yanafanywa na walimu?..

Mnapoambiwa ukweli msikasirike na mkumbuke haya tunayoandika mama samia anasoma,sisi tunawasaidia nyie mfikiliwe halafu wewe unapotosha wenzio.
Yani ujue nawaza sijui wakishaajiriwa wanageuzwa misukule??
 
Usituchoshe maana sisi tunaishi Kwa uzalendo Kwa kufuata ideology ya mwalimu nyerere. Kama Kuna mwalimu kaja kutafuta utajiri kupitia kwenye uwalimu basi nashauri aondoke hayupo sehemu sahihi

Mbona unatunanga sana kwani vipi weweeee ebu tuache haloooo. Walimu wote tupo pamoja na serikali maana bila mama Samia mimi watoto wangu hawawez kula kwasababu yeye ndoananipa mshahara. Huwezi mpangia boss wako kiasi gani cha pesa akulipe

Kwa mwalimu ambae anaona anaonewa aondoke sisi hatuna shida na utajiri. Kama unaona laki tano ndogo jaribu kumpa ambae hana kazi kama ataona ndogo
Usikhofu

Huyo ni moja ya wale failed teachers,anatema nyongo humu Ili kujifariji
 
Usituchoshe maana sisi tunaishi Kwa uzalendo Kwa kufuata ideology ya mwalimu nyerere. Kama Kuna mwalimu kaja kutafuta utajiri kupitia kwenye uwalimu basi nashauri aondoke hayupo sehemu sahihi

Mbona unatunanga sana kwani vipi weweeee ebu tuache haloooo. Walimu wote tupo pamoja na serikali maana bila mama Samia mimi watoto wangu hawawez kula kwasababu yeye ndoananipa mshahara. Huwezi mpangia boss wako kiasi gani cha pesa akulipe

Kwa mwalimu ambae anaona anaonewa aondoke sisi hatuna shida na utajiri. Kama unaona laki tano ndogo jaribu kumpa ambae hana kazi kama ataona ndogo
Kama hamjitambui lazima niwaseme nanitaanza kuwatukana Sasa, kama kupigwa ban poteleambali
 
Kama hyo 500k ni nyingi,mbona mnamaisha magumu sana...
Mikopo,bond,kuombaomba mnaongoza nyie walimu..
Halafu kazi gani hyo kila siku matukio ya kutatanisha yanafanywa na walimu?..

Mnapoambiwa ukweli msikasirike na mkumbuke haya tunayoandika mama samia anasoma,sisi tunawasaidia nyie mfikiliwe halafu wewe unapotosha wenzio.
Hao ni walimu wa kujitolea sio tulioajiriwa, ebu niambie mfanyakazi yupi wa halmashauri ana mshahara mkubwa kuliko sisi ukiachana na daktari na mhandisi
 
Jiheshimu.
Miaka yote walimu wanajipigania wenyewe. Usitake kufanana nao. Kosa la mwalimu mmoja lisiwe la walimu wote.
Suala la uhamisho siyo inshu ya walimu pekee ni idara zote.
Pia serikali itakuwa ya kipumbavu kama haitakuwa na limitations za uhamisho maana watumishi asilimia 90 wanataka kuishi mjini.
Serikali inalipa kadri iwezayo lakini pia vyama vya wafanyakazi bado vina msukumo sasa wewe hata leo ukiwa Rais utahamisha watumishi wote kijijini upeleke mjini mbona utakuwa Rais wa hovyo.

Wewe hufai kuwa kiongozi wa umma ni mpotoshaji. Unatakiwa upambane ili uhame siyo kuhama kiurahisi rahisi tu utadhani nchi ya baba yako.
 
Huyu asikuumize kichwa

Kwanza hapo alipo anatamani kuwa mwanamke Ili apate kamseleleko
 
Tena lina zero [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha siye tuendelee kudunda na ualimu wetu
 
Back
Top Bottom