Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Yani ujue nawaza sijui wakishaajiriwa wanageuzwa misukule??
 
Usikhofu

Huyo ni moja ya wale failed teachers,anatema nyongo humu Ili kujifariji
 
Kama hamjitambui lazima niwaseme nanitaanza kuwatukana Sasa, kama kupigwa ban poteleambali
 
Hao ni walimu wa kujitolea sio tulioajiriwa, ebu niambie mfanyakazi yupi wa halmashauri ana mshahara mkubwa kuliko sisi ukiachana na daktari na mhandisi
 
Jiheshimu.
Miaka yote walimu wanajipigania wenyewe. Usitake kufanana nao. Kosa la mwalimu mmoja lisiwe la walimu wote.
Suala la uhamisho siyo inshu ya walimu pekee ni idara zote.
Pia serikali itakuwa ya kipumbavu kama haitakuwa na limitations za uhamisho maana watumishi asilimia 90 wanataka kuishi mjini.
Serikali inalipa kadri iwezayo lakini pia vyama vya wafanyakazi bado vina msukumo sasa wewe hata leo ukiwa Rais utahamisha watumishi wote kijijini upeleke mjini mbona utakuwa Rais wa hovyo.

Wewe hufai kuwa kiongozi wa umma ni mpotoshaji. Unatakiwa upambane ili uhame siyo kuhama kiurahisi rahisi tu utadhani nchi ya baba yako.
 
Huyu asikuumize kichwa

Kwanza hapo alipo anatamani kuwa mwanamke Ili apate kamseleleko
 
Tena lina zero [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha siye tuendelee kudunda na ualimu wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…