Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Tatizo hukuwa na akili darasan ukabondwa sana bakora,saizi una hasira nao sana.pole
 
Tatizo hukuwa na akili darasan ukabondwa sana bakora,saizi una hasira nao sana.pole

mzee ni muhaya kwa taarifa yako.

Mzee wangu amestaafu moi( daktari bingwa wa mifupa)
mama yangu alikuwa Geogist alistaafu GST.

kwa kupenda fani ya Mama mpka sasa mimi ni Geologist.

nakupa taarifa tu.

best student na mwenye IQ kubwa kuwahi kutokea hapa Tanzania


Wewe endelea kupuliza moto kwenye kuni huko kijijini.
 
Washamba hawa, wangejua chanzo cha watoto kufeli mashuleni ni kwasababu wanafundishwa na waliofeli, binafsi nilifaulu Kwa juhudi zangu Kuna mda nilikuwa nawapuuza walimu maana waongo waongo sana Afu hayajui kitu
 
Huyu jamaa sijui anakutana na walimu gani, Kuna ticha mmoja toka sekondari flani hivi nafikiri miaka 5 ijayo atastafu yeye hajawahi kuchukua mshahara ila huwa anacheki kama umeingia,, siku moja DED akatuma timu yake imvagae maana alikuwa na kiasi kikubwa cha pesa kwenye akaunti, walipofika jamaa akawapeleka kwenye vyanzo vyake
1. Shamba la mihogo ekari za kutosha tu akawaambia nikiingia kuchimba mihogo humu Sikosi gunia 100 afu kwa bei ya hasara kila gunia niwauzie elfu 20.
2. Akawapeleka shamba lake lingine la kahawa, wana kahawa mnaijua inavyoleta return...
3. Akawapeleka shamba lake la migomba lina ndizi hatari akawaambia kwa leo leteni fuso mbili tuingie shambani tukate ndizi kujaza hizo fuso kila mkungu niuze buku 10 tu..
4. Wakaenda kwenye mifugo mbuzi kama 150 hivi kila Wikiendi yeye huchomoa mbuzi baadhi huwauzia Wapika supu.
Akawaambia kamwambieni DED mshahara niuchukue wa nn sasa acha uwe unakaa humo humo..
Na enzi hizo ulikuwa utawala wa jpm (season 1) hadi leo life stail yake ni ile ile sasa niambie ana bei gani benki.
 
siku moja DED akatuma timu yake imvagae maana alikuwa na kiasi kikubwa cha pesa kwenye akaunti, walipofika jamaa akawapeleka kwenye vyanzo vyake

Sasa mkuu mkurugenzi atajuaje kwenye account yako Kuna pesa ya kutosha, watu nyie ni washamba sana ahseee dah 🤣🤣🤣🤣
 
Ila nyinyi walimu ni mazoba sana aisee
 
Walimu ni masikini na siku hizi wengi ni wadajili laini na mabodaboda.
 
Tuoneshe yako kwanza
 
Mleta mada ana tatizo la akili aliye.katibu naye.amshauri awahi milembe hospitali ya vichaa

Walimu wangi tu mbona wako vizuri tu except wale wanaoendekeza lifestyle xisizoendana na viator vyao hasa waendekeza mikopo ambayo hawafanyii kitu cha maana cha kuwekeza

Kilio chake kinaonyesha ni wale ambao wamekopa kiasi kuwa mshahara ukija unaishia kulipa madeni na yeye kutakiwa kurudi tena kukopa kiasi kidogo ili.kuishi

Maandishi yake yanaonyesha wazi kafikia kiwango cha ukichaa familia wamkimbize mirembe bado kidogo atatupa nguo ba kutemvea uchi barabarani
 
Tuwachwe walimu tupumuwe. Mei Mosi tunakatwa 30,000 tunashonewa ma polo shirt hafifu, dukani likiwa jipya unapata kwa buku5. Tunaonewa sana
 
Mkuu walimu kwanza kitakachowasaidia ni wengi, maandamano ni watu hivyo watakapondamana nashauri pia wogome kuingia madarasani kufundisha
Ajira zilivyo ngumu sasa unaota

Mtu akiwa na ajira anashukuru Mungu Ms hana mpango wa kuipoteza au kuichezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…