Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Nadhani itakuwa vyema kwao wakitengwa. Hasa na wanaume wanaotamani kuwa wanawake..
 
Nahisi ungetafuta maudhui mengine ya kuendeleza siku JF. Hili la kutukana na kudhihaki walimu lishakinaisha sasa.

Tangu ilipokuwa inachekesha ukiwaandika walimu, ikaja kukera sasa imefikia ku bore.

Hamia kwa kada nyingine sasa chief.
Na Jamii forum kupitia Mod wake wanaishushia hadhi kuruhusu watu wachache wenye chuki na kada muhimu ya Ualimu kuendelea Kuchaguliwa na Mtu ambae haitaki jinsia yake.Max wakumbushe Mod wa jukwaa la habari na hoja mchanganyiko majukumu Yao.Sio mtu anataka huko Kuja kudhalilisha walimu madaktari,Manesi,waandishi wa habari n.k Uzi wa kwanza,pili tatu n.k anatazamwa tu.Humu watu tunafuata habari.
 
Naam bora kazi ya kuokota makopo kuliko ualimu. Ila ni afadhali tena kuwa mwalimu kuliko kuwa punga.
 
Mashoga wanapata pesa nyingi sana kiasi cha kutamani kuwa wanawake kabisa. Si ajabu kukuta shoga ana mabilioni. Ni bidii yake tu kukata viuno.
 
Haina haja ya kubishana na mtu ambaye anatamani kuwa mwanamke ina maana tayari maisha yashamshinda anatamani kusukumwa tope
 
Walimu wana hali ngumu kutokana na kipato chao duni. Ila still wanasurvive katika hali hiyo. Tofauti na mashoga ambao wana kipato kizuri, vyakula wanapata vizuri lakini hawawezi kuenjoy kutokana na nature ya kazi yao. Pia nadhani mashoga lazma wajiswafi muda wote maana kuna β€œsfinkta” ambayo iko loose mwilini so inaweza kuwa inatoa taka pasipo udhibiti. Kwa shoga yeyote Ni muhimu kuwa mtumwa wa usafi...
 
Walimu tuna Hali ngumu!!!! Walimu...na sisi tuna umuhimu .........goodmoring sir.....winuka zeze ...walimu tunachanyikiwa mpk tunaongea kisambaa darasani
 
Huu ni ukweli mchungu! Vyama vyote afrika na duniani vitang'olewa ila siyo hiki chama.
 
Moderators ifike mshski mada za huyu mleta mada dhidi ya walimu zifikie ukomo
Si sahihi mtu ndani ya jamii forums always ku post hate speech dhidi ya walimu

Tafadhali Moderators chukueni hatua huyu kutwa kuandama na kutukana walimu

Kageuza jamii forums jukwaa la kuandama na kutukana walimu
 
Mwl "ajira ilivyo ngumu mmh bora kidogo kuliko kukosa kabisaa,ona watu wanavyohangaika na ajira!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Walimu wa aina yako Ni wajinga sana..mtu mjinga kama wewe huwezi kumfundisha mtoto wangu
 
kuridhika kwa kile ulicho nacho ni utajiri mkubwa sana
 
Mkuu mpwayungu village unatukamia sana walimu. Can't you give us a break? Katika nyuzi zako 100, nyuzi 99.99 huwa unatuchamba sisi walimu. Tulikokosea nini lakini? Tusamehe basi ndugu yangu japo kwa muda.
 
Ila kumbuka unaowatukana hapa ndio waliokupa uwezo wa kuandika Mkuu.

Hakuna mtu mwenye maarifa ambaye hajapita mikononi mwa waalimu Tanzania hii.

Inasikitisha sana mwalimu ndie mlezi wa maarifa yet mnamtukana kiasi hichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…