Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Mara nyingi wakidai haki zao wanaambiwa wana fujo, kwann mtu akidai chake au kukataa maagizo haramu mnamwita mchokozi, anafanya vurugu, sio mzalendo mnapigisha barua za kutosha na vitisho juu kwani akipewa haki zake Kuna shida
Hawa nao wana wakosesha wananchi haki zao za kiongozi siku ya uchaguzi acha nao wakose haki yao tu. Unacho tenda ndicho unacho lipwa.
 
Hivi mshahara wa mwalimu Ni sh ngp?

Maana mayowe yamekuwa mengi mno.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Inategemeana na kiwango Cha elimu pia muda aliokaa mtu kazini
Kwa kifupi mwalimu anadharaulika Kwa sababu Hana posho na Mianya mingine ya kupiga mtonyo tofauti na kada nyingine.
 
Mwalimu mpwayungu cheti chako Cha Sheria Kiko wapi!?? Mbona hukioneshi!? Ulisoma Sheria chuo Gani!?
 
Naona umekula umeme. Pole yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…