Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Mara nyingi wakidai haki zao wanaambiwa wana fujo, kwann mtu akidai chake au kukataa maagizo haramu mnamwita mchokozi, anafanya vurugu, sio mzalendo mnapigisha barua za kutosha na vitisho juu kwani akipewa haki zake Kuna shida
Hawa nao wana wakosesha wananchi haki zao za kiongozi siku ya uchaguzi acha nao wakose haki yao tu. Unacho tenda ndicho unacho lipwa.
 
Hivi wakati unaomba ualimu ulikuwa umeshanunua lile Prado namba E!?
JamiiForums-575292719.jpg
 
Mwalimu mpwayungu cheti chako Cha Sheria Kiko wapi!?? Mbona hukioneshi!? Ulisoma Sheria chuo Gani!?
JamiiForums-575292719.jpg
 
Nawapa mbinu za mapambano, msikubali mwalimu mwenzenu aonewe pingeni Kwa nguvu zote. Kumekuwa na tabia ya watendaji wa halmashauri, wakuu wa shule, afisa elimu Kata, madiwani na viongozi wa tamisemi, wizara ya elimu kuwafokea na kuwaonea walimu.

Mara nyingi wakidai haki zao wanaambiwa wana fujo, kwann mtu akidai chake au kukataa maagizo haramu mnamwita mchokozi, anafanya vurugu, sio mzalendo mnapigisha barua za kutosha na vitisho juu kwani akipewa haki zake kuna shida.
Naona umekula umeme. Pole yako.
 
Back
Top Bottom