Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
Hawa nao wana wakosesha wananchi haki zao za kiongozi siku ya uchaguzi acha nao wakose haki yao tu. Unacho tenda ndicho unacho lipwa.Mara nyingi wakidai haki zao wanaambiwa wana fujo, kwann mtu akidai chake au kukataa maagizo haramu mnamwita mchokozi, anafanya vurugu, sio mzalendo mnapigisha barua za kutosha na vitisho juu kwani akipewa haki zake Kuna shida