Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu ndio njia iliyotumika kufuta ujinga kwa kila mmoja wetu humu.
Tuwaombee tu maana wao peke yao hawawezi maana gap ni kubwa mno wakisema waanze kupambana watapotea! Upande mwingine wanaamini kuwa ni kwa hisani tu waliipata hiyo kazi ndio maana sio rahisi kuona stahiki zao. Kitu ambacho hujui ni kwamba walimu ni watu wa shukrani sana hata kwa kidogo wanachopata ndio maana umeona hapo wawakilishi wao CWT wameshukuru kwa Tablet kwa niaba yao!
Maisha yao wameridhika nayo kwa sehemu kubwa tu
 
Walimu tunajenga na tunaweka kununua vigari hivi vya bei rahisi,au unazungumzia walimu wa miaka ya 1990
Sema kunawalimu wale wazamani ambao wao huwaambii kitu Kwa kuvaa mabwangwa na pigo zao Fulani hivi atakama wanapesa na sio walimu tu ata watumishi wengi wenye maadil ya miaka ya themaninizi ndo pigo zao
 
Pambania maisha Yako Mkuu walimu wanajua wasurvive vipi kwenye bahari yenye tope Shida Yako ukosoaji wako ni Wa kudharau na si wa mrengo wa kusaidia una Kebehi nyingi mno Mpwayungu natamani nijue kazi Yako...wewe unakula ngapi per months?
 
Mwamba ameamka tena....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…