Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Wanajitutumua wa maisha mazuri ikitokea kazi ya muda wanajazana huko
 
Ubarikiwe sana madam/sir
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watumishi karibu wote wapo hivyo,mshahara tunapata,inabaki ni akili ya mtu mwenyewe kujiongeza
 
Kwenye huu uzi nimeona kitu cha ajabu sana yaani walimu wanavyojitutumua kumpinga mleta mada as if yaliyo andikwa hapo juu kuhusu wao sio kweli na wao wana maisha safi tu
Ukweli upo,lakin mbona anashindwa ku acknowledge wale waliotusua maisha!!?
 
Kwenye huu uzi nimeona kitu cha ajabu sana yaani walimu wanavyojitutumua kumpinga mleta mada as if yaliyo andikwa hapo juu kuhusu wao sio kweli na wao wana maisha safi tu
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Ningekua ni mimi napenda ningeshasema,halafu kama huwezi kiingereza nibora uandike kiswahili tu,
Kama watoto wetu mnawafundisha kiingereza hiki ulicho taypu hapa!!!! Mnaangamiza taifa la kesho
Sasa sahihisha hiyo sentensi,twende neno Kwa neno:

"don't self project your fantasies on other people bro"

Naomba ufanye kazi ya kusahihisha hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…