Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Hakuna binadamu atakayeacha kukaa peponi akakimbilia motoni.Nashuhudia wimbi la walimu kwenda kusoma sheria, daktari, uhandisi nk lakini sijaona tangu kuzaliwa kwangu mtumishi wa kada nyingine kama sheria na afya akasomee ualimu ili awe mwalimu.
Walimu mjitathimin, msipofanya mapinduzi kwenye sekta yenu nitawala za kichwa kila siku dadeki. Anzeni kudili na wakuu wa shule hao wanapandikizwa sumu kwenye vikao vyao halmashauri, baada ya hapo pondeni wasagike viongozi wote wa CWT, TUCTA, TSC namatokolinyo yote.
Lastly ingieni barabarani kufanya revolution ya kibabe ili mshinikize muanze kupewa teaching allowance
Namaanisha mtu atoke sheria/udaktari aende ualimu? Big No.