Ila Kuna matisha hawanywi pombe hawajaoa/kuolewa Ila wanamadeni jamani dah! Nakuhakkshia wataenda tu kukopaHakuna mwalimu ataenda kukopa kwa Huyo bwege ,akiwa na shida ya elfu10 anaanzisha Uzi kukopa humu.....
Mpwa ni jobless anayeishi kwa kutegemea mikeka .
Hhhahaha mafala sana haya mambwehaWalimu ni daraja,wacha watumike sana tena sana.
Wanashiriki kuiba kura katika chaguzi zote wacha wanyooshwe wakose hata pesa ya chai ya rangi.
Usimpeleke mpaka waandamane kudai haki zaoYaani we mwalimu Leo umeandika vitu vya msingi sana. Walimu wakifanya hayo uliyoandika nitamwandikisha shule mwanangu nilipanga asisome niwe namfundisha mwenyewe nyumbani na kumuandaa kurithi kazi ninayoifanya awe na ujuzi mkubwa zaidi yangu.
Walimu jamani wanakufa masikini sanaMindset tu... family matters kila mtu ana yake ila hawezi acha kupambana.
SawaHakuna mwalimu ataenda kukopa kwa Huyo bwege ,akiwa na shida ya elfu10 anaanzisha Uzi kukopa humu.....
Mpwa ni jobless anayeishi kwa kutegemea mikeka .
Ndoshida yenu walimuID nyingine ya mpwayungu
Inahitajika haki Sawa Kwa walimu wote
Wakikopa walaaniwe maisha Yao yoteIla Kuna matisha hawanywi pombe hawajaoa/kuolewa Ila wanamadeni jamani dah! Nakuhakkshia wataenda tu kukopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life.
Ndugu mpwayungu village alifanikiwa kutoroka jana hospital na Sasa anaropoka hovyo tu.
Tunashukuru kwa ushirikano wenu na tunaahidi tutalifanyia kazi swala hili hivyo mvumilieni.
Nina ambatanisha ushahidi wa vyeti vya kimataifa alivyovipata kutoka hospital ya crazy for lifeView attachment 2532393
Ona ulivyo chizi
[emoji1]Mwanetu anawapiga spana walimu hadi watatii maagizo, lakini walimu waoga sana na hawajiamini
Lakini Sasa inawatesa, inawadhalilisha mtu amekopa mitaani riba ipo juu na kadi ya bank wamechukua na shulen wanamfata wadai hadi darasan..Ni hatar SanaWewe ndo chizi,mikopo imewaokoa sana watumishi,wewe mla viazi huwez elewa
Haki sawa kivipi mkuu...hvi mwl wa certificate na diploma wanalipwa salary sawa, sorry naomba unifafanulie kidogoInahitajika haki Sawa Kwa walimu wote