Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Ila Kuna matisha hawanywi pombe hawajaoa/kuolewa Ila wanamadeni jamani dah! Nakuhakkshia wataenda tu kukopaHakuna mwalimu ataenda kukopa kwa Huyo bwege ,akiwa na shida ya elfu10 anaanzisha Uzi kukopa humu.....
Mpwa ni jobless anayeishi kwa kutegemea mikeka .