Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

We mwenyewe unaonesha ni kiaza +, hueleweki umeandika nini, umetupotezea muda tu kusoma andiko kuubwa ndani hamna kitu.

Inaonesha una chuki kubwa na walimu, bila hoja za msingi. Walioua, waliobaka, wezi na wakosaji wengine wote waalimu? Panua fikra zako kidogo
Mkuu soma andiko lote pamoja na hizo links nilizoweka hapo chini ndipo utanielewa.
 
Unapata faida gani kuita walimu vilaza?

Kama una hoja ni vema ungeiwasilisha kistaarabu tu ungeeleweka.

Hii chuki iliyopo humu dhidi ya walimu ni ni hasa chanzo chake najiuliza.
Kilaza sio tusi bali ni kivumishi. Neno kilaza halimo kwenye kundi la matusi. Hata mwendazake alipenda kutumia neno hili kufikisha ujumbe kwenye hadhira yake. Shule zikifunguliwa nenda kwenye maktaba ya shule yenu ulitafute kwenye kamusi.
 
A thread written on the basis of hasty generalization fallacy!
Na hapa ndipo kwenye tatizo la Watanzania. Generalization! Ukisoma bandiko lake, labda unaweza ukafikiri walimu wote nchini ni vilaza (jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo), ni wabakaji, ni matapeli, wanatapeliwa, wanaacha kadi za benki kwa wakopeshaji wadogo (kausha damu), nk.

Kumbe ni walimu wachache tu ndiyo wanaokumbwa/wenye hizo changamoto. I think we need to respect our beloved teachers. Bila wao, sidhani kama leo tungekuwa tunajua hata tu kusoma na kuandika.
 
Mtoa hoja ni mtu mwenye uelewa dhaifu,ualimu ni ngozi tu walizovaa/tulizovaa sisi/ watu hao unawaita walimu,utu na maidhaifu yao yatabaki pale pale kama ilivyo kwa watu watu wengine,ng'ombe akivalishwa ngozi ya simba kamwe ng'ombe huyo hawezi kuwa simba.

Mwalimu huyo huyo leo hii akiwa mkurugenzi sio kwamba ndo kigezo cha yeye kubadilika ,utu/ hulka zake zitabaki vile vile.

Umekosea kufanya generalization,
 
Hamna cha maana ulichoandika zaidi ya kufukua makaburi ya mambo yaliyopita.
Kama hujajifunza kitu basi alnachosema mtoa mada upo humo humo.

Walimu badilikeni fuateni sheria,taratibu,kanuni na miongozo mbalimbali kwenye kutekeleza majukumu yenu.

Vinginevyo mtaishia jela ama kunyongwa na kuwaachia wahuni wawatandika wake zenu huku wakihongwa vipensheni vyenu.
 
We mwenyewe unaonesha ni kiaza +, hueleweki umeandika nini, umetupotezea muda tu kusoma andiko kuubwa ndani hamna kitu.

Inaonesha una chuki kubwa na walimu, bila hoja za msingi. Walioua, waliobaka, wezi na wakosaji wengine wote waalimu? Panua fikra zako kidogo
Amezungumzia kundi kubwa kwenye jamii ni walimu ambao utawapata kila mahala ndiyo wanatakiwa wawe kiigizo chema badala yake wamekuwa mfano usiostahili kuigwa.

Sasa mtu unapewa dhamana ya kumfundisha mtoto badala yake unatumia mwanya huo kumbaka mtoto.
 
Ndio maana sihangaikagi na mtoto wa mtu siku hizi. Atafunzwa na ulimwengu, mie sio ulimwengu.
Bora wewe umejitambua mapema maana hasira hasara utajikuta unaishia jela unawaachanwazazi, ndugu na watoto wanateseka kisa kumpiga mtoto wa mtu na kumuumiza.

Kumbuka serikali ilivyo na upungufu wa ajira na vijana wanahitaji ajira ukifanya kosa tu la kukufanya ufikishwe mahakamani huna chako utakuta ajira kapewa mwingine.
 
Kilaza mtu aliyekuwezesha kujua babebibobu? Kuweni na heshima basi vijana wa 2000
Mie mbona nilikuwa najua kusoma na kuandika kabla sijaenda shule?

Tena kama siku hizi elimu mtandao inapatikana natamani serikali iruhusu watoto wasome mtandaoni chini ya uangalizi wa wazazi kisha wakafanye tu mitihani ili mradi mtaala uwekwe wazi kwa kila mtu uone kama wengi wataenda kupoteza muda shuleni.

Mwanangu hapa nyumbani hajaanza hata nursery nimekuwa nikimfundisha mwenyewe anajua kuhesabu kwa kiswahili na kiingereza kuanzia moja hadi mia moja na kusoma anajua.

Sasa hapo mwalimu amehusika? Anajua kuwasha data kwenye simu akaingia play store akaangalia ma game ya watoto na kudownload kwasababu nimekuwa nikiwasimamia kutumia simu kwa ajili ya programu za watoto.
 
Lakini pamoja na hayo lzm utampeleka shule akafundishwe na vilaza.
 
Katika watu walioandika upupu ni wewe!

Acha KUDANGANYA watu kilaza wewe! Usimamizi gani wa wazazi watu tupo busy kuhangaika familia watoto wanaopata basic needs nikae kumsimamia?

Hivi ni mtoto gani anajifundisha mwenyewe miaka 2 miaka 3?

Mbona unaongea ujing
 
Back
Top Bottom