Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umemaliza kila kitu aisee. Mods tafadhali pandisha komenti hii kule juu ya uzi.Kama hujajifunza kitu basi alnachosema mtoa mada upo humo humo.
Walimu badilikeni fuateni sheria,taratibu,kanuni na miongozo mbalimbali kwenye kutekeleza majukumu yenu.
Vinginevyo mtaishia jela ama kunyongwa na kuwaachia wahuni wawatandika wake zenu huku wakihongwa vipensheni vyenu.
nani anayeandaa hiyo content unayodownload au kusoma mtandaoni? mostly ni haohao unaosema huwahitajiMie mbona nilikuwa najua kusoma na kuandika kabla sijaenda shule?
Tena kama siku hizi elimu mtandao inapatikana natamani serikali iruhusu watoto wasome mtandaoni chini ya uangalizi wa wazazi kisha wakafanye tu mitihani ili mradi mtaala uwekwe wazi kwa kila mtu uone kama wengi wataenda kupoteza muda shuleni.
Mwanangu hapa nyumbani hajaanza hata nursery nimekuwa nikimfundisha mwenyewe anajua kuhesabu kwa kiswahili na kiingereza kuanzia moja hadi mia moja na kusoma anajua.
Sasa hapo mwalimu amehusika? Anajua kuwasha data kwenye simu akaingia play store akaangalia ma game ya watoto na kudownload kwasababu nimekuwa nikiwasimamia kutumia simu kwa ajili ya programu za wNA
Kweli kabisa mkuu. Nina mifano hai ya walimu wawili waliopoteza kazi kimasihara. Mmoja alimbaka mwanafunzi na kumjaza mimba na mwingine alimdunga mshale mwananchi. Wote waliishia kufungwa jela na kupoteza kazi.Bora wewe umejitambua mapema maana hasira hasara utajikuta unaishia jela unawaachanwazazi, ndugu na watoto wanateseka kisa kumpiga mtoto wa mtu na kumuumiza.
Kumbuka serikali ilivyo na upungufu wa ajira na vijana wanahitaji ajira ukifanya kosa tu la kukufanya ufikishwe mahakamani huna chako utakuta ajira kapewa mwingine.
Kaandika vema na anasimamia kile anchokiamini. Acha kupayuka kama kina la ndege lililotelekezwa na mamaye. Kama huwezi kumfundisha mwnao mwenyewe nyumbani, basi mpeleke kwa vilaza wenzio wamuue au wambake na kumjaza mimba ili liwe fundisho kwa vilaza wengine kama wewe.Katika watu walioandika upupu ni wewe!
Acha KUDANGANYA watu kilaza wewe! Usimamizi gani wa wazazi watu tupo busy kuhangaika familia watoto wanaopata basic needs nikae kumsimamia?
Hivi ni mtoto gani anajifundisha mwenyewe miaka 2 miaka 3?
Mbona unaongea ujing
Sawa huenda lisiwe tusi lakini unadhani ni neno sahihi?Kilaza sio tusi bali ni kivumishi. Neno kilaza halimo kwenye kundi la matusi. Hata mwendazake alipenda kutumia neno hili kufikisha ujumbe kwenye hadhira yake. Shule zikifunguliwa nenda kwenye maktaba ya shule yenu ulitafute kwenye kamusi.
Nikiangalia andiko lako zima umetahadharisha walimu kwa kunukuu matukio yasiyozidi matatu tena miaka ya nyuma. Unaijua idadi ya walimu nchi nzima mkuu? Umegeneralize kwa kiasi kikubwa.Neno lolote ambalo sio tusi ni sahihi na linaweza kutumika mahali popote; hadi bungeni na mahakamani mkuul
Mkuu umemaliza kila kitu. Tusubiri wenyewe waje kujitetea au wawatume chawa wao waje kuwasemea. Kwa kweli walimu ni watu wa ajabu sana katika nchi hii.Ukweli usemwe hawa watu wameshindwa kabisa kuiitambua sijui kwasababu serikali inawatumia kama toilet paper na kuwatupa huko.
Kwa kweli tukiiangalia Tanzania yetu kwa makundi makubwa yaliyoenea nchini ambayo yakikinukisha ni lazima kieleweke ni haya matatu
Wakatoliki
Ma ccm na
Walimu
Hayo mawili ya juu yakiamua jambo lao lifanyike huwa linatekelezwa ipasavyo na kwa wakati.
Ila sasa hili la walimu yaani sijui wana shida gani hawa watu maana hawajui haki zao, wanasalitiana na kujipendekeza kwa watawala hakuna mfano.
Lakini siku ikitokea haya mamtu yakaamua kujitambua lazima nchi ikae chini ebu imagine walimu wagome nchi nzima automatically wanafunzi watagoma na wazazi ambao ni wananchi nao watagoma na huo mgomo utatisha haijawahi kutokea. Sema labda kwa kuwa yanalipwa vibaya na serikali na hayana posho yoyote ndiyo maana yanakuwa mandina kiasi hiki.
Mkuu kabla ya kuetea hoja ni vizuri ukasoma na kuelewa uzi vizuri. Nakushauri usome uzi wangu na pia usome hukumu (attachment) ambayo mwalimu alipewa baada ya kumuua mwanafunzi.Nikiangalia andiko lako zima umetahadharisha walimu kwa kunukuu matukio yasiyozidi matatu tena miaka ya nyuma. Unaijua idadi ya walimu nchi nzima mkuu? Umegeneralize kwa kiasi kikubwa.
Kwenye heading unasema "watakwisha"
Wewe kama nani hasa?
Bado umegeneralize kwa kutumia mf. mmoja mkuu, yaani mapungufu ya walimu wachache uchukie wote.Mkuu kabla ya kuetea hoja ni vizuri ukasoma na kuelewa uzi vizuri. Nakushauri usome uzi wangu na pia usome hukumu (attachment) ambayo mwalimu alipewa baada ya kumuua mwanafunzi.
Na ukienda mbali zaidi ukasoma jinsi mwanafunzi alivyoteswa na mwalimu huyo mbele za walimu wenzake na wakashindwa kumkataza kuua, bila shaka utagundua walimu ni watu wa ajabu sana na kamwe huji tena kuwatetea kwa upumbavu wanaoufanya hapa nchini.
Mkuu leo nimejikita kwa walimu tu. Kesho nitaongelea kada nyingine including hiyo ya afya. Tumalize hil la walimu kwanza.Bado umegeneralize kwa kutumia mf. mmoja mkuu, yaani mapungufu ya walimu wachache uchukie wote.
Andiko lako nimesoma lote, pia hizo kanuni ulizoweka, hilo tukio nadhani hatua stahiki zilishachukuliwa dhidi ya mwalimu husika.
Kwenye utumishi wa umma uzembe upo wa kutosha karibu kada zote,hata ualimu ni afadhali.
Kwa nini onyo lako, rejea yako ya kanuni usingeitumia kuwakumbusha kada ya afya ambayo pia ni nyeti zaidi kuliko hata elimu na pia kumekuwa na matukio kadhaa ya vifo sababu ya uzembe siku za karibuni?
Unaweza kuwa sahihi ila kwa walimu imekuwa too much humu jf.Mkuu leo nimejikita kwa walimu tu. Kesho nitaongelea kada nyingine including hiyo ya afya. Tumalize hil la walimu kwanza.
Unapata faida gani kuita walimu vilaza?
Kama una hoja ni vema ungeiwasilisha kistaarabu tu ungeeleweka.
Hii chuki iliyopo humu dhidi ya walimu ni ni hasa chanzo chake najiuliza.
OKHakuna kazi rahisi mkuu. Cha muhimu kila mtu afuate maadili ya kazi yake