Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

Huna hoja mtoa mada,unaonekana elimu yako haijakusaidia,na inawezekana una watoto wajinga,wapumbavu kama wewe,bila huyo mwalimu unayemwita kilaza hata huko kuandika usingeweza hata kidogo,,,jaribu kutumia akili yako vizuri kuondokana na negative attitude dhidi ya watu wengine ama makundi mengine,,,kama wewe Mungu amekujalia kipato cha kutokwenda kwa hao kausha damu mind your business cause hata hao wanaoenda kwa hao kausha damu hawajawahi kuja mlangoni kwako kukuomba chochote na kingine usipende sana kujumuisha kosa la watu watatu kuwa kosa la watu 500 ni ujinga kiwango la lami
Mkuu lazima hawa watu warudishwe kwenye reli kwa kukumbushwa kile wanachotakiwa kukifanyana namna wanavyotakiwa kuishi kama binadamu wengine. Wewe kinachukuuma nini?
 
Kila idara Ina wakosefu iwe polisi,bank,wahubiri,madaktari,bodaboda nk. Kushambulia walimu pekee ni uhayawani labda ulikuwa mjinga wakakudundaga sana maana hatahapa mtoamada anaonesha yu mpumbafu!

Walimu wametutoa mbali Toka kujinyea mpaka Leo tunajitambua,labda kama mtu hakusoma otherwise Tuwaheshimu
 
Mada ya leo inahusu walimu tu. kama unataka kujumlisha watumishi wengine, fungua uzi mpya mkuu.
 
Mada ya leo inahusu walimu tu. kama unataka kujumlisha watumishi wengine, fungua uzi mpya mkuu.
Mada ikijahuku niyawote kama niyako binafsi ungeweka kwenye fesibuku yako!! Baadhi ya walimu wasio na maadili wajirekebishe lkn tusijumuishe walimu woote na kuwakashifu haifaiii.
Umeandika ujinga na unakauli za hovyo dhidi ya walimu wetu wanaopambania ndoto za watoto wetu kwa kamshahara kadogo sana. Huu upuuzi ukifumbiwa macho kauli za kishenzi dhidi ya walimu zitazidi na elimu yetu itashuka!!!
Wacha dharau na maneno ya shombo kwa watoa huduma,kazi wanayofanya walimu wetu hatujaweza kuwalipa tunawadhulumu so kuwakashifu na kuwadhihaki kuhusu mfano kipato ni mambo yakipuuzi yasiyofaa kuwekwa sehemu kama hii ya wastaarabu, chukua ama Acha but most of all use your brain!!!
 
Unapata faida gani kuita walimu vilaza?

Kama una hoja ni vema ungeiwasilisha kistaarabu tu ungeeleweka.

Hii chuki iliyopo humu dhidi ya walimu ni ni hasa chanzo chake najiuliza.
Walimu ndio hasa wanaweza kuibadiri nchi hii kutokana na wingi wao lkn wamekuwa wakifanya kinyume chake.
 
Hii post inaonyesha wazi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, huna hekima na ni wazi wewe ni kilaza hata waliokulea ni vilaza na utazaa vilaza. Endelea kutapa tapa na walimu kama maovu yote nchini yanatekelezwa na walimu.
 
Mie mbona nilikuwa najua kusoma na kuandika kabla sijaenda shule?

Tena kama siku hizi elimu mtandao inapatikana natamani serikali iruhusu watoto wasome mtandaoni chini ya uangalizi wa wazazi kisha wakafanye tu mitihani ili mradi mtaala uwekwe wazi kwa kila mtu uone kama wengi wataenda kupoteza muda shuleni.

Mwanangu hapa nyumbani hajaanza hata nursery nimekuwa nikimfundisha mwenyewe anajua kuhesabu kwa kiswahili na kiingereza kuanzia moja hadi mia moja na kusoma anajua.

Sasa hapo mwalimu amehusika? Anajua kuwasha data kwenye simu akaingia play store akaangalia ma game ya watoto na kudownload kwasababu nimekuwa nikiwasimamia kutumia simu kwa ajili ya programu za watoto.
Kaa na mwanao nyumbani umfundishe usimpeleke kwa hao waalimu unaowadharau. Maana nawe akili zako na mtoa post ni mapacha. Mna chuki na waalimu kwa sababu ya ujinga wenu mnaoujua. Tafuteni hela mtulize akili maana pia umaskini unawaharibu akili.
 
Hivi unajua huyo mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa viboko alisha toka gerezani kitambo?
 
Walimu ndio hasa wanaweza kuibadiri nchi hii kutokana na wingi wao lkn wamekuwa wakifanya kinyume chake.
Sidhani kama kuna sekta yoyote ya umma unayofanya vizuri kwa ufanisi mkuu.

Sekta ya afya ni nyeti zaidi kuhusu hata elimu, lakini sijawahi kuona mtu humu kaanzisha uzi wowote ule.

Walimu wa sasa hivi ukilinganisha na zamani enzi tunasoma sasa kuna uafadhali mkubwa sana.
 
Nilipofungua huu Uzi mapema niliangalia ID nikiamini itakuwa Mpwayungu Village amebadili ID.

Hata hivyo bado Nina mashaka hii account Mpwayungu Village ameidukua......
 
Mwalimu mmoja alikopa fedha (shs 10,000,000/=), akaamua kwenda kwa mganga (wa kienyeji) kuizindika fedha ili iongezeke! Kilichomkuta wote mnajuwa.
Du! Walimu Mungu anawaona aisee!
 
Hivi unajua huyo mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa viboko alisha toka gerezani kitambo?
Nashangaa kuna baadhi ya wapuuzi wanakuja humu kusapoti walimu wauaji, wabakaji na walozi wakati suala kama hili la mwalimu kuua na kutolewa gerezani hawalisemi. Wanaudhi sana.
 
Mie mbona nilikuwa najua kusoma na kuandika kabla sijaenda shule?

Tena kama siku hizi elimu mtandao inapatikana natamani serikali iruhusu watoto wasome mtandaoni chini ya uangalizi wa wazazi kisha wakafanye tu mitihani ili mradi mtaala uwekwe wazi kwa kila mtu uone kama wengi wataenda kupoteza muda shuleni.

Mwanangu hapa nyumbani hajaanza hata nursery nimekuwa nikimfundisha mwenyewe anajua kuhesabu kwa kiswahili na kiingereza kuanzia moja hadi mia moja na kusoma anajua.

Sasa hapo mwalimu amehusika? Anajua kuwasha data kwenye simu akaingia play store akaangalia ma game ya watoto na kudownload kwasababu nimekuwa nikiwasimamia kutumia simu kwa ajili ya programu za watoto.
Acheni ujinga! Mmesahau kipindi Cha likizo ya Corona (miezi miwili).
Wazazi waliona kero kukaa na watoto muda mrefu nyumbani.

If education is expensive try ignorance.
 
Hao ndiyo waliokufanya wewe uweze kuandika hicho ulichoandika hapa, nafikiri kama ungefanya utafiti hata kidogo tu ungegundua hayo madhaifu uliyoainisha yapo pia kwa wenye taaluma nyingine tofauti na Walimu, lakini pia lazima ufahamu hii Kada ndiyo yenye Watumishi wengi kuliko Kada yoyote hapa Tanzania.

Ulichokifanya wewe ni kuweka Walimu wote kwenye Kapu moja, yaani ni kama kusema "Samaki mmoja akioza wameoza wote" kitu ambacho si sahihi.

Mimi binafsi nimekutana na Walimu wenye Weledi na umakini katika ngazi zote za Elimu yangu, kama walikuwa na mapungufu basi ni yale ya kibinadamu na si wote.

Labda wewe ulipata bahati mbaya ya kukutana na Walimu wa hovyo, hata huyo ambaye ameua sidhani kama alikusudia aue.
 
Unapata faida gani kuita walimu vilaza?

Kama una hoja ni vema ungeiwasilisha kistaarabu tu ungeeleweka.

Hii chuki iliyopo humu dhidi ya walimu ni ni hasa chanzo chake najiuliza.
Watu wa aina hii ni wale waliokuwa na uwezo mdogo darasani au ni wale waliokuwa Watukutu kipindi wakiwa Shule, Mtu "bright" hawezi kuwa na chuki dhidi ya Mwalimu hata siku moja.
 
Watu wa aina hii ni wale waliokuwa na uwezo mdogo darasani au ni wale waliokuwa Watukutu kipindi wakiwa Shule, Mtu "bright" hawezi kuwa na chuki dhidi ya Mwalimu hata siku moja.
Huenda mkuu, siku za karibuni kumekuwa na shutuma na dharau nyingi sana dhidi ya walimu humu jf.
 
Sawa huenda lisiwe tusi lakini unadhani ni neno sahihi?

Kuna kada nyingi sana zina shida kwenye utumishi wa umma ila chuki kubwa ni kwa walimu why?
Wewe ulibakwa baba yako alivyokupeleka? Mama yako alikuwa anakufungia ndani kukufundisha?
 
Kaandika vema na anasimamia kile anchokiamini. Acha kupayuka kama kina la ndege lililotelekezwa na mamaye. Kama huwezi kumfundisha mwnao mwenyewe nyumbani, basi mpeleke kwa vilaza wenzio wamuue au wambake na kumjaza mimba ili liwe fundisho kwa vilaza wengine kama wewe.
Ndo nauliza wewe ulibakwa mara ngapi? Ulifundishwa na mama yako ndani?

kama ulibakwa uchunguzi wa kitabibu tuonyeshe? Kama hukubakwa Kaa utulie watoto wasome.
Ufukara tu
 
Back
Top Bottom