Mkuu soma andiko lote pamoja na hizo links nilizoweka hapo chini ndipo utanielewa.We mwenyewe unaonesha ni kiaza +, hueleweki umeandika nini, umetupotezea muda tu kusoma andiko kuubwa ndani hamna kitu.
Inaonesha una chuki kubwa na walimu, bila hoja za msingi. Walioua, waliobaka, wezi na wakosaji wengine wote waalimu? Panua fikra zako kidogo
Kilaza sio tusi bali ni kivumishi. Neno kilaza halimo kwenye kundi la matusi. Hata mwendazake alipenda kutumia neno hili kufikisha ujumbe kwenye hadhira yake. Shule zikifunguliwa nenda kwenye maktaba ya shule yenu ulitafute kwenye kamusi.Unapata faida gani kuita walimu vilaza?
Kama una hoja ni vema ungeiwasilisha kistaarabu tu ungeeleweka.
Hii chuki iliyopo humu dhidi ya walimu ni ni hasa chanzo chake najiuliza.
Na hapa ndipo kwenye tatizo la Watanzania. Generalization! Ukisoma bandiko lake, labda unaweza ukafikiri walimu wote nchini ni vilaza (jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo), ni wabakaji, ni matapeli, wanatapeliwa, wanaacha kadi za benki kwa wakopeshaji wadogo (kausha damu), nk.A thread written on the basis of hasty generalization fallacy!
Another mwalimu on air.Hebu tuthibitishie kwamba na wewe siyo mbakaji!
Kama hujajifunza kitu basi alnachosema mtoa mada upo humo humo.Hamna cha maana ulichoandika zaidi ya kufukua makaburi ya mambo yaliyopita.
Amezungumzia kundi kubwa kwenye jamii ni walimu ambao utawapata kila mahala ndiyo wanatakiwa wawe kiigizo chema badala yake wamekuwa mfano usiostahili kuigwa.We mwenyewe unaonesha ni kiaza +, hueleweki umeandika nini, umetupotezea muda tu kusoma andiko kuubwa ndani hamna kitu.
Inaonesha una chuki kubwa na walimu, bila hoja za msingi. Walioua, waliobaka, wezi na wakosaji wengine wote waalimu? Panua fikra zako kidogo
Bora wewe umejitambua mapema maana hasira hasara utajikuta unaishia jela unawaachanwazazi, ndugu na watoto wanateseka kisa kumpiga mtoto wa mtu na kumuumiza.Ndio maana sihangaikagi na mtoto wa mtu siku hizi. Atafunzwa na ulimwengu, mie sio ulimwengu.
😂Nakukubali sana 😂
Mie mbona nilikuwa najua kusoma na kuandika kabla sijaenda shule?Kilaza mtu aliyekuwezesha kujua babebibobu? Kuweni na heshima basi vijana wa 2000
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] au kausha damu bado wameshikiria kadi za bank ?Bado michango inaendelea; kuna wengine wanagoma kutoa.
Lakini pamoja na hayo lzm utampeleka shule akafundishwe na vilaza.Mie mbona nilikuwa najua kusoma na kuandika kabla sijaenda shule?
Tena kama siku hizi elimu mtandao inapatikana natamani serikali iruhusu watoto wasome mtandaoni chini ya uangalizi wa wazazi kisha wakafanye tu mitihani ili mradi mtaala uwekwe wazi kwa kila mtu uone kama wengi wataenda kupoteza muda shuleni.
Mwanangu hapa nyumbani hajaanza hata nursery nimekuwa nikimfundisha mwenyewe anajua kuhesabu kwa kiswahili na kiingereza kuanzia moja hadi mia moja na kusoma anajua.
Sasa hapo mwalimu amehusika? Anajua kuwasha data kwenye simu akaingia play store akaangalia ma game ya watoto na kudownload kwasababu nimekuwa nikiwasimamia kutumia simu kwa ajili ya programu za watoto.
Katika watu walioandika upupu ni wewe!Mie mbona nilikuwa najua kusoma na kuandika kabla sijaenda shule?