Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] au kausha damu bado wameshikiria kadi za bank ?
Wanajikomba kwa mama ili awasaidie kugomboa kadi zao kutoka kwa kausha damu.
 
Mkuu umemaliza kila kitu aisee. Mods tafadhali pandisha komenti hii kule juu ya uzi.
 
nani anayeandaa hiyo content unayodownload au kusoma mtandaoni? mostly ni haohao unaosema huwahitaji

Sema una ujumbe flan unajaribu uufikishe isipokuwa umekosa approach nzuri, ila kuwakosea heshima waalimu wote utakua umekosea, kwa maoni yangu
 
Kweli kabisa mkuu. Nina mifano hai ya walimu wawili waliopoteza kazi kimasihara. Mmoja alimbaka mwanafunzi na kumjaza mimba na mwingine alimdunga mshale mwananchi. Wote waliishia kufungwa jela na kupoteza kazi.
 
Kaandika vema na anasimamia kile anchokiamini. Acha kupayuka kama kina la ndege lililotelekezwa na mamaye. Kama huwezi kumfundisha mwnao mwenyewe nyumbani, basi mpeleke kwa vilaza wenzio wamuue au wambake na kumjaza mimba ili liwe fundisho kwa vilaza wengine kama wewe.
 
Kilaza sio tusi bali ni kivumishi. Neno kilaza halimo kwenye kundi la matusi. Hata mwendazake alipenda kutumia neno hili kufikisha ujumbe kwenye hadhira yake. Shule zikifunguliwa nenda kwenye maktaba ya shule yenu ulitafute kwenye kamusi.
Sawa huenda lisiwe tusi lakini unadhani ni neno sahihi?

Kuna kada nyingi sana zina shida kwenye utumishi wa umma ila chuki kubwa ni kwa walimu why?
 
Sawa huenda lisiwe tusi lakini unadhani ni neno sahihi?
Neno lolote ambalo sio tusi ni sahihi na linaweza kutumika mahali popote; hadi bungeni na mahakamani mkuu.
 
Ukweli usemwe hawa watu wameshindwa kabisa kuiitambua sijui kwasababu serikali inawatumia kama toilet paper na kuwatupa huko.

Kwa kweli tukiiangalia Tanzania yetu kwa makundi makubwa yaliyoenea nchini ambayo yakikinukisha ni lazima kieleweke ni haya matatu
Wakatoliki
Ma ccm na
Walimu
Hayo mawili ya juu yakiamua jambo lao lifanyike huwa linatekelezwa ipasavyo na kwa wakati.
Ila sasa hili la walimu yaani sijui wana shida gani hawa watu maana hawajui haki zao, wanasalitiana na kujipendekeza kwa watawala hakuna mfano.
Lakini siku ikitokea haya mamtu yakaamua kujitambua lazima nchi ikae chini ebu imagine walimu wagome nchi nzima automatically wanafunzi watagoma na wazazi ambao ni wananchi nao watagoma na huo mgomo utatisha haijawahi kutokea. Sema labda kwa kuwa yanalipwa vibaya na serikali na hayana posho yoyote ndiyo maana yanakuwa mandina kiasi hiki.
 
Neno lolote ambalo sio tusi ni sahihi na linaweza kutumika mahali popote; hadi bungeni na mahakamani mkuul
Nikiangalia andiko lako zima umetahadharisha walimu kwa kunukuu matukio yasiyozidi matatu tena miaka ya nyuma. Unaijua idadi ya walimu nchi nzima mkuu? Umegeneralize kwa kiasi kikubwa.

Kwenye heading unasema "watakwisha"
Wewe kama nani hasa?
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Tusubiri wenyewe waje kujitetea au wawatume chawa wao waje kuwasemea. Kwa kweli walimu ni watu wa ajabu sana katika nchi hii.
 
Nikiangalia andiko lako zima umetahadharisha walimu kwa kunukuu matukio yasiyozidi matatu tena miaka ya nyuma. Unaijua idadi ya walimu nchi nzima mkuu? Umegeneralize kwa kiasi kikubwa.

Kwenye heading unasema "watakwisha"
Wewe kama nani hasa?
Mkuu kabla ya kuetea hoja ni vizuri ukasoma na kuelewa uzi vizuri. Nakushauri usome uzi wangu na pia usome hukumu (attachment) ambayo mwalimu alipewa baada ya kumuua mwanafunzi.

Na ukienda mbali zaidi ukasoma jinsi mwanafunzi alivyoteswa na mwalimu huyo mbele za walimu wenzake na wakashindwa kumkataza kuua, bila shaka utagundua walimu ni watu wa ajabu sana na kamwe huji tena kuwatetea kwa upumbavu wanaoufanya hapa nchini.
 
Bado umegeneralize kwa kutumia mf. mmoja mkuu, yaani mapungufu ya walimu wachache uchukie wote.

Andiko lako nimesoma lote, pia hizo kanuni ulizoweka, hilo tukio nadhani hatua stahiki zilishachukuliwa dhidi ya mwalimu husika.

Kwenye utumishi wa umma uzembe upo wa kutosha karibu kada zote,hata ualimu ni afadhali.

Kwa nini onyo lako, rejea yako ya kanuni usingeitumia kuwakumbusha kada ya afya ambayo pia ni nyeti zaidi kuliko hata elimu na pia kumekuwa na matukio kadhaa ya vifo sababu ya uzembe siku za karibuni?
 
WALIMU TUACHE NAMAISHA YETU.
YALE YA MSINGI ULOANDIKA TUMEPOKEA ILA HAYO MAMBO BINAFSI MFUATE MLENGWA.
 
Mkuu leo nimejikita kwa walimu tu. Kesho nitaongelea kada nyingine including hiyo ya afya. Tumalize hil la walimu kwanza.
 
Mkuu leo nimejikita kwa walimu tu. Kesho nitaongelea kada nyingine including hiyo ya afya. Tumalize hil la walimu kwanza.
Unaweza kuwa sahihi ila kwa walimu imekuwa too much humu jf.

Kama umewahi kumfuatilia huyu anajiita mpwayungu nadhani alipata umaarufu kwa kukashifu walimu ilhali na yeye akiwa ni mwalimu.

Kuna moja ya uzi wake aliwahi kusema walimu ni heri wafe.
 
Huna hoja mtoa mada,unaonekana elimu yako haijakusaidia,na inawezekana una watoto wajinga,wapumbavu kama wewe,bila huyo mwalimu unayemwita kilaza hata huko kuandika usingeweza hata kidogo,,,jaribu kutumia akili yako vizuri kuondokana na negative attitude dhidi ya watu wengine ama makundi mengine,,,kama wewe Mungu amekujalia kipato cha kutokwenda kwa hao kausha damu mind your business cause hata hao wanaoenda kwa hao kausha damu hawajawahi kuja mlangoni kwako kukuomba chochote na kingine usipende sana kujumuisha kosa la watu watatu kuwa kosa la watu 500 ni ujinga kiwango la lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…