kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
- Thread starter
- #81
Sasa huyu ndio katika wale wanaidharirisha kada ya ualimu. Mwalimu umeandika takataka umeshindwa kuzingatia alama za uandishi? Unawafundisha nini wanafunzi wako,wewe na wenzako wachache mnawafanya wenzenu wasemwe vibaya. Lakini mwalimu umeshindwa kusoma vizuri ukaelewa nilichokiandika? Kusema maovu yanayofanywa na baadhi ya walimu ni kuwadhalilisha? Kwani walimu ni kundi la watu lisiloguswa katika jamii?Jionye mwenyewe kwa kuling'ata ziwa lililokushibisha! Naamini bila hao walimu unaodai walikuwa maswahiba wako na walikuwezesha kuwa ulivyo leo na bado unawakandia Basi una kasoro kubwa tu kwenye afya yako ya akili kumdharau aliyekuwezesha kimaisha na ni laana ujue!
Nakutabiria mwisho mbaya mno kwenye maisha yako Kama hutowaomba Rashi walimu wetu na wa watoto wetu! Ukalaaniwe pamoja na uzao wako wote na wanaokuunga hoja humu!