Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Umechukua hatua gani?Si mwalimu ndugu, ika hatua stahiki si sahihi. Tena kibaya zaidi, unawasikia waalimu rafiki zake wanasema " ticha umezingua, pisi kali zipo nyingi hapa shule, utamchukuaje mwenye sura ya baba yake?"...Kauli hii imenikera sana.
nyie watu wengine mnakera sanaHeb usituvunjie heshima lakin mm namjua aliyepost hapa ni visa tuu hivi hamna ukwel wowote isitoshe alikuwa anahudhuria vikao vyote leo kajifanya kuleta hapa akilenga kumhari ia mtu
Ni wa kupuuzwa huyu
sasa kama anafanya ujinga ulitaka aufumbie macho?Katika kada ambayo unaweza kusingiziwa mambo na jamii ikaamini ni kada ya Ualimu!
Kuna ujinga meingi sana. Nimefanya kazi sana katika sekta ya Elimu, kusengenyana, kufanyiana majungu, kusingiziana na kuoneana gere ni mambo ya kawaida sana hasa katika shule ambazo walimu wamekaa muda mrefu pamoja. Na hivi uhamisho ulisitishwa, kuwekeana fitna ambazo hata haziongezi kipato chao ni jambo la kawaida kabisa.
Ila ni ukweli pia walimu hasa wanaoanza kazi wanajihusisha sana mapenzi na wanafunzi wao. Maana hata kiumri wanakuwa age mates tu hivyo vijitabia vya uanafunzi bado huwatawala walimu hao.
Kwa stori hii, unaweza kuona namna gani mwanafunzi huyu aliyeleta story hii ama ni raia tu wa mtaani aliyena uhusiano na wanafunzi ameamua kumuua mwalimu.
La utakuta ni mwalimu tena wapo staff moja!
sasa kuwataja si kawasaidia sana?Kama si mwalimu haya umeyapata wapi?
Au wewe ndi boyfriend wa wanafunzi hao na amekusimulia hayo mkiwa chumbani nawe ukaamini?
Ulishawahi jiuliza ni kwa kiwango gani umeumiza hisia za hao uliowataja?
Eti anawataja na majina kabisa. Huyu Bibie Mmbea sana.Haya sio ya kuleta humu kama una ushahidi peleka panapohusika tatizo la walimu ni majungu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa weweMimi nipoo hapa mikocheni industrial, tunazalisha soda naachaje kunywa soda kiwandan ,niende dukan?
Kachoshwa na tabia mbaya za hao walimu wasiofuata maadili ya kuwalea wanafunzi. Baadhi ya walimu wa sayansi ndio zao kuzitumia maabara kugongea watotoWe jamaa unaonekana una ugomvi binafsi na huyo mwl ama lah amekugengea dada ako,mkeo au dem wako,au hata kakugonga wewe na akakuacha kwenye mataa labda ulitaka awe wako daima kwa kuwa kwa jinsi ulivyo eleza ni wazi unaushaidi sasa huendi Panapo husika unabaki kubwabwaja kama pumbu one
Hili swala nitalifikisha kwa Jonh Pambalu, huu upuuzi tumezoea kuuona ccm kumbe mpaka hawa viumbe wanaovaa kila aina yenye mashati yenye nembo za ujima kama sensa, uchaguzi, mbio za mwenge, cwt nao wamoHABARI YA WANABODI?
Kuna huu upumbavu, umenikera. Hebu tusaidiane kuutatua.
NI JUU YA WAALIMU MALAYA WA BUTIMBA SEKONDARI-MWANZA
....Mwalimu mwanzalima na mwalimu paul....(JELA INAWAITA)
Mwalimu wa Butimba sekondari wiki hii alitaka kumbaka mwanafunzi ila Mungu saidia aliweza kumponyoka na kukimbia.
Mwanafunzi huyo wa kike sketi yake ilichanika, ilikuwa masomo ya saa tisa hivi.
Mwanafunzi alienda moja kwa moja kwa mama yake na kumjuza juu ya tukio hili. Mzazi alitoa taarifa kwa kiongozi mmoja wa chama na kiongozi wa chama akaijuza serikali na serikali ikamtuma afisa elimu wa wilaya ya Nyamagana kutatua mgogoro huo.
Mwalimu aliohijwa ila alikana kabisa kuhusika na tukio hilo.
Kikao cha mkuu wa shule na walimu pia hakikuzaa matunda, mwalimu bado alikana kata kata kuhusika na tukio hilo.
Mkuu mpya wa shule alimuita mzazi wa binti huyo wakaongea nae kwa kumpoza ili suala liishe, na hakika kwa mzazi na mwanafunzi ni kama limeisha.
Timu ya afisa elimu wamesema watapeleleza zaidi kuufahamu ukweli.
HALI YA SASA YA MWALIMU ALIYETAKA KUBAKA
Tangu timu ya afisa elimu kusema watalifanyia uchunguzi, mwalimu ameonekana akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike akiwa na sura ya hofu kana kwamba kuna kitu anataka kuficha.
TUKIO HILI LILITOKEAJE?
Kwa ufupi walimu hao wawili ofisi yao ni maabara ambayo ina magrill na mapaazia mazito.
Mwanafunzi huyu aliitwa na mwalimu huyo kuchukua mtihani wake.
Mwanafunzi huyo alienda, mashuhuda wawili wanazidi kusimlia.
Mwanafunzi alipoingia, pazia lilishushwa. Gafla wakaskia kelele kama ugomvi, niache, niache. Dakika sio nyingi, vitu kama vinadondoka ndani, ndipo mwanafunzi akatoka akikimbia huku kashikilia sketi imechanika. Moja kwa moja akaenda nyumbani
Binti huyu anasema mwalimu huyu amekuwa akimtongoza tangu kidato cha kwanza.
MWALIMU MWINGINE
Mwalimu mwingine huyu, anaekaa maabara. Mwenye sifa kama mwalimu wa kwanza. Huwaita wanafunzi na kuwawekea mziki kwenye smart phone na wanafunzi kuanza kucheza.
Mara kadhaa huwashika makalio na matiti na baadhi yao huwapa miadi wakutane siku za Jumamosi au Jumapili.
MHANGA MMOJA ANASIMULIA
Mwanafunzi mmoja wa kike, form one alichukizwa na kitendo cha mwalimu huyu, alimshika matiti na makalio. Alienda na kusema kwa mzazi.
Mzazi alilipeleka kwa mkuu wa shule, kikao kiliwekwa na mwalimu alionywa ingawaje hakukubali kosa.
Mwanafunzi huyu kaandamwa sana na walimu hawa wawili kwa manyanyaso ya kijinsia hadi anaomba ahamishwe shule. Ni matusi kwake na kejeli . Kwamba, umeshtaki imesaidia nini? Kwani hujawai kufanya?
Inauma sana.
YUPO MWALIMU ALIWAHI KUOA MWANAFUNZI BUTIMBA
Yupo mwalimu, alimpiga mimba mwanafunzi akiwa form 3, wazazi walimlazimisha amuoe na mpaka sasa alimuoa na hakuna hatua ya kisheria iliyochukuliwa kwa mwalimu huyo.
MKUU WA SHULE ALIYEAMIA MKOLANI SEKONDARI ANAJUA HAYA.
Aliwahi kumshuhudia mwalimu wa kiume amemkumbatia mwanafunzi maabara kimapenzi ila hakufanya lolote.
KIKAO CHA WAZAZI JANUARI
Mkuu wa shule mpya aliitisha kikao januari, suala la uzinzi wa walimu lilisemwa, ila hakuna hatua stahiki zilizo chukuliwa.
Wenye mamlaka nendeni karejee minutes za kikao cha Januari cha wazazi mtajua.
WAZIRI WA ELIMU NA TAASISI HUSIKA
Hili limezidi, linawakwaza waalimu, sana sana wa kike. Kwasababu hakuna hatua stahiki zinazo chukuliwa.
Mkishindwa kazi zenu, tutawasaidia. Haiwezekani mabinti wanyanyaswe kingono wapumbavu nyie mpo.
Imagine anafanyiwa mwanao, utajisikiaje?
USHAURI
Ni kazi rahisi, TAKUKURU, wekeni mtego, mtawashika hawa wapumbavu wote asubuhi na mapema. Kuanzia mkuu wa shule anayelea mpaka hao walimu wanaoacha wake zao na kutafuna watoto.
Nawasilisha.
Majungu tu haya.HABARI YA WANABODI?

Ni kweli. Just imagine binti yako anatongozwa na mwl halafu anakuja kukushirikisha, kwamba anasumbuliwa na mwl hadi anakosa raha anataka umuhamishe shule na huna uwezo wa kumuhamisha.Siku utakapo zaa binti wa kike ndyo utajua nn mleta mada kaleta
Naunga mkono hoja uchunguz ufanyike
Wanaojibu kejeli juu ya bandiko hili weng n watoto wasio na familia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa huyu aliyechaniwa skirt, na wanafunzi wengine wakisikia kelele za ''niache, niache'', hapa hakuna haja ya ushahidi mwingine. Huyo angesombwa na kupelekwa moja kwa moja kwenye vyombo vya sheria na sheria kuchukua mkondo wake.HABARI YA WANABODI?
Kuna huu upumbavu, umenikera. Hebu tusaidiane kuutatua.
NI JUU YA WAALIMU MALAYA WA BUTIMBA SEKONDARI-MWANZA
....Mwalimu mwanzalima na mwalimu paul....(JELA INAWAITA)
Mwalimu wa Butimba sekondari wiki hii alitaka kumbaka mwanafunzi ila Mungu saidia aliweza kumponyoka na kukimbia.
Mwanafunzi huyo wa kike sketi yake ilichanika, ilikuwa masomo ya saa tisa hivi.
Mwanafunzi alienda moja kwa moja kwa mama yake na kumjuza juu ya tukio hili. Mzazi alitoa taarifa kwa kiongozi mmoja wa chama na kiongozi wa chama akaijuza serikali na serikali ikamtuma afisa elimu wa wilaya ya Nyamagana kutatua mgogoro huo.
Mwalimu aliohijwa ila alikana kabisa kuhusika na tukio hilo.
Kikao cha mkuu wa shule na walimu pia hakikuzaa matunda, mwalimu bado alikana kata kata kuhusika na tukio hilo.
Mkuu mpya wa shule alimuita mzazi wa binti huyo wakaongea nae kwa kumpoza ili suala liishe, na hakika kwa mzazi na mwanafunzi ni kama limeisha.
Timu ya afisa elimu wamesema watapeleleza zaidi kuufahamu ukweli.
HALI YA SASA YA MWALIMU ALIYETAKA KUBAKA
Tangu timu ya afisa elimu kusema watalifanyia uchunguzi, mwalimu ameonekana akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike akiwa na sura ya hofu kana kwamba kuna kitu anataka kuficha.
TUKIO HILI LILITOKEAJE?
Kwa ufupi walimu hao wawili ofisi yao ni maabara ambayo ina magrill na mapaazia mazito.
Mwanafunzi huyu aliitwa na mwalimu huyo kuchukua mtihani wake.
Mwanafunzi huyo alienda, mashuhuda wawili wanazidi kusimlia.
Mwanafunzi alipoingia, pazia lilishushwa. Gafla wakaskia kelele kama ugomvi, niache, niache. Dakika sio nyingi, vitu kama vinadondoka ndani, ndipo mwanafunzi akatoka akikimbia huku kashikilia sketi imechanika. Moja kwa moja akaenda nyumbani
Binti huyu anasema mwalimu huyu amekuwa akimtongoza tangu kidato cha kwanza.
MWALIMU MWINGINE
Mwalimu mwingine huyu, anaekaa maabara. Mwenye sifa kama mwalimu wa kwanza. Huwaita wanafunzi na kuwawekea mziki kwenye smart phone na wanafunzi kuanza kucheza.
Mara kadhaa huwashika makalio na matiti na baadhi yao huwapa miadi wakutane siku za Jumamosi au Jumapili.
MHANGA MMOJA ANASIMULIA
Mwanafunzi mmoja wa kike, form one alichukizwa na kitendo cha mwalimu huyu, alimshika matiti na makalio. Alienda na kusema kwa mzazi.
Mzazi alilipeleka kwa mkuu wa shule, kikao kiliwekwa na mwalimu alionywa ingawaje hakukubali kosa.
Mwanafunzi huyu kaandamwa sana na walimu hawa wawili kwa manyanyaso ya kijinsia hadi anaomba ahamishwe shule. Ni matusi kwake na kejeli . Kwamba, umeshtaki imesaidia nini? Kwani hujawai kufanya?
Inauma sana.
YUPO MWALIMU ALIWAHI KUOA MWANAFUNZI BUTIMBA
Yupo mwalimu, alimpiga mimba mwanafunzi akiwa form 3, wazazi walimlazimisha amuoe na mpaka sasa alimuoa na hakuna hatua ya kisheria iliyochukuliwa kwa mwalimu huyo.
MKUU WA SHULE ALIYEAMIA MKOLANI SEKONDARI ANAJUA HAYA.
Aliwahi kumshuhudia mwalimu wa kiume amemkumbatia mwanafunzi maabara kimapenzi ila hakufanya lolote.
KIKAO CHA WAZAZI JANUARI
Mkuu wa shule mpya aliitisha kikao januari, suala la uzinzi wa walimu lilisemwa, ila hakuna hatua stahiki zilizo chukuliwa.
Wenye mamlaka nendeni karejee minutes za kikao cha Januari cha wazazi mtajua.
WAZIRI WA ELIMU NA TAASISI HUSIKA
Hili limezidi, linawakwaza waalimu, sana sana wa kike. Kwasababu hakuna hatua stahiki zinazo chukuliwa.
Mkishindwa kazi zenu, tutawasaidia. Haiwezekani mabinti wanyanyaswe kingono wapumbavu nyie mpo.
Imagine anafanyiwa mwanao, utajisikiaje?
USHAURI
Ni kazi rahisi, TAKUKURU, wekeni mtego, mtawashika hawa wapumbavu wote asubuhi na mapema. Kuanzia mkuu wa shule anayelea mpaka hao walimu wanaoacha wake zao na kutafuna watoto.
Nawasilisha.
kwaiyo ulitaka afumbie macho huo ujinga unaoendelea mkuu?
Madai ya mtoa mada hayana tangible evidence na ndiyo maana wenye akili zao wanashindwa kumuhukumu Mwalimu moja kwa moja!
Je kesho ukisikia mwalimu Paul kajinyonga kwa sababu kadharirishwa na kisa hiki Utajisikia vizuri?!!tutafte njia nzuri za kutatua changamoto zetu maofisin,kuupandisha Uzi huu ilikuwa ni hatua ya mwisho baada ya kujikusanyia vithibitisho vya kutosha na pengine hata hatua zimeshachukuliwa dhidi ya waalimu hao.