Walimu Shule ya Sekondari Butimba na kashfa ya kujihusisha kimapenzi na Wanafunzi

Kiongozi wa serikali akatumwa "kutatua" mgogoro?Hivi kuna uelewa mzuri wa kutofautisha kati ya mgogoro na jinai iliyo wazi(hata kama ni tuhuma)?Mnalea ujinga.Peleka katika vyombo vya sheria huyo mbakaji na si kukaa na kusuluhishana.Hao ndiyo waharibifu wa watoto wa kike.
 
Haya sio ya kuleta humu kama una ushahidi peleka panapohusika tatizo la walimu ni majungu tu.
Sidhani kama ni sahihi ulichoandika.Hii ni JF.Ni medium ya habari.Rejea madhumuni yake.Ni kupeana taarifa,kuelimishana nk.Mleta habari(uzi)yupo sahihi.Kwa wingi wetu,si wote tupo Butimba.Hivyo basi,nasi tunayo haki ya kupata habari.Na ukichukulia kwamba baadhi tuna watoto pale na tupo mbali.
 
Kupeleka unapotaka ni hatari kwake. Hapa ni sahihi. Hatafahamika na ameujuza ulimwengu hivyo vyombo stahiki vitafuatilia na pia hao walimu wapumbavu wataacha upumbavu wao haraka maana limejulikana na watasakamwa kila kona.

Hongera mleta mada. Achana na majinga yanayoshupalia upuuzi
 
Ujinga mtupu. Akiki za kuku hizi makuku. Huenda unashiriki huu upuuzi, ole wako. Unatetea nini sasa hapo?
 
Dah,
Kwa haraka wewe ni mwalimu hapo shuleni unaamua kuchongea wenzako.. akina Paul..
Ila what goes around comes around
Safi sana. Na Wewe pia bila shaka ni mwl na unajua changamoto za ofisi za walimu. Huo mpangilio wa matukio hauna mashaka umeandaliwa na mwalimu. Inawezekana ikawa ila kuna chuki ndani ya hayo maelezo ya mtoa taarifa. Alikuwa na nafasi ya kwenda kwenye vyombo husika sasa why kakimbilia Huku? Hataki kujulikana? Chuki binafsi?
 
 
Hiyo ni jinsi hakuna haja ya mitego ya Takukuru,peleka kesi polisi,dawati la jinsia,kama mpaka leo hamjafungua shauli polisi,ni kupoteza muda tu.
 
Mwalimu heb fungua miradi itakusaidia kuwa busy na kufatilia maisha ya watu. Haya unayoleta hapa hayana ushahidi. Na nakuhakikishia hayawez kumpeleka mwalim popote sio kwa kupindisha sheria.Ila kingine ujue haya ni maisha mwalim unayetaman afungwe ana ndugu na huenda ana mke na watoto wanamtegemea. Hao viongozi unaowaona Kama wanataka kupindisha sio kupindisha Ila ni wana busara. Kama wangekua wanaamua kwa akili zako basi hapo shuleni ungebaki wewe na kina madam tu. Ila huwez kuamua hivyo mpaka ushahid ujitosheleze, muda wa kukaa kufatilia Jambo moja watu hawana, posho na mafuta ya kuja kila siku kukusanya taarifa ni changamoto nyingine. Mwalimu huyo akihamishwa hapo teaching load itaongezeka kwenu mnaobakia

Wewe ni mwanaume jifunze kukaa na Mambo na pia unaweza kuongea na wenzio kishkaji wakachukua tahadhari, wanawake mtaani wapo kibao na hata km kwa mwanafunzi bas atafute mazingira mengine sio shule maana anachafua image ya shule. Mkuu hao watoto watagongwa tu hata Kama hao walimu wakinyongwa. Kama mtoto hajitambui atagongwa tu. Kuna wanaume wanapenda Totoz mtaani, Kuna vibosile wafanyabiashara na watumishi wengine, mabrazamen wa kitaa mtoto asipojitambua atagongwa tu. Pole Sana hiyo kazi unayotaka kufanya hutaona manufaa yake, jikite kwenye maisha yako
 
aishi kwa taabu kivipi, upumbavu wake wa kutaka kubaka ndani ya maabara ndo akaliwe kimya?
Ukisoma comments za waliowengi humu, ndipo utajua kwanini jamii na elimu yetu imekuwa ya hovyo.
Hawaoni tatizo kabisa mpaka pale mdogo wake au ikiwa atapata mtoto yatakapomfika ndipo wanakuja kulalama humu.
Waliki wa siku hizi wengi ni washenzi.
 
Hiyo issue ya Teacher na dent kuishi kinyumba niliikuta hapo mwaka 2012 na binti alikuwa bado anasoma.

Hiyo ndoa bado ipo?

BTW:Hiyo Sec ipo getini mwa Butimba TTC,kwa nini wasiopoe wanachuo? Au wamezoea vya kunyonga?
 
Reactions: ALT
Kwahiyo kufumbia macho uovu tena unaofanywa na watu ambao wazazi wamewaamini kuwaachia watoto ni busara?
Siku yakikukuta itakuwa vizuri ukizingatia huu ushauri.
Shule zinabidi ziwe mahali salama kwa watoto hasa wa kike. Mtaani boda boda, shule waalimu, njiani makonda, bado mafataki halafu wakipata mimba walaumiwe.
Kama jamii tunatetea uovu, hivi mtoto anayenyanyaswa na mwalimu akimbilie wapi? Maana huyo mwalimu akimkataa ndio anampa adhabu za kila aina.
Uovu inabidi ukemewe, usipokemewa tunatengeneza jamii ya hovyo.
Leo humu unaona threads nyingi za kuuliza kuhusu kuongezeka kwa ushoga. Tunasahau haya hayakutokea siku moja. Yalianza kidogo na kila mtu akaona sio jukumu lake.
 
Wanachuo gharama mzee,mwanafunzi yake chipsi kavu tu na visheti,kokoto na barafu
 
maelezo mengi ila unatetea ujinga tu ,mbakaji anatakiwa awe ndani ,kama anajua anafamilia anayolea anaanzaje kubaka? Huo ni upuuzi,siku binti yako akiinamishwa akili ndo itakukaa
 

Tabia imetukera, hebu liwalo na lliwe. Jana tuu mchana nilimwambia ticha aache mapuuza rakini mubishi.
 
Wewe unaunga mkono tu hoja bila kuitafakari kwa undan mwandishi anaonekana kuwa biased sana haijalish mimi ninao watoto wakubwa tena wameshapita huko sekondari lakin nafaham sana makazini humo hasa walimu jinsi gani walivyo ndiyo maana kwa upande wangu ninaona kwamba mleta maada hakufikiri kabla ya kutenda
 
Lakini pia Mara nyingi sana mabinti au hata wadada wanaotongozwa na kukubali huwa hawajisemi wala hata mzazi huwez jua analiwa huko kimya kimya ila itokee katongozwa na asiyemtaka daah kijiji kizima watajua ,
 
Kama bint hajitambui atainamishwa tu Ila anayejitambua hawezi, kwa dunia ya Sasa mtoto anatakiwa kujilinda mwenyewe. Kama hajitambui atafyatuliwa tu, utambania mwalimu atafyatuliwa na bodaboda. Inatakiwa kuwapa awareness watoto ili kumbana mwanaume tu haisaidii
maelezo mengi ila unatetea ujinga tu ,mbakaji anatakiwa awe ndani ,kama anajua anafamilia anayolea anaanzaje kubaka? Huo ni upuuzi,siku binti yako akiinamishwa akili ndo itakukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…