Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Tumekuwa tukisikia migogoro ya mara kwa mara baina ya viongozi wa walimu kama vile Wakuu wa Shule, Waratibu Elimu, Maafisa Elimu nk, na Walimu, hii yote nikutokana kuwa either kiongozi ana Elimu ndogo kuliko anaye muongoza au mwenye Elimu kubwa ameachwa ameteuliwa mtu mwenye Elimu ndogo, aisee hiyo lazima ilete migogoro.
Nasema hivyo kwasabu Elimu kubwa huongeza thamani ya mtu.
Nashauri, huko kwenye ofisini/shuleni mtu mwenye Elimu kubwa mpeni promotion, msimuache abaki idle, hii itaondoa migongano ya kiutendaji ofisini.
Haiwezekani mtu mwenye PhD/Masters yupo lakini kwenye ofisi hiyo hiyo anateuliwa mtu mwenye degree moja, kwa hili tunaomba busara zitumike zaidi.
Nawasalimuni kwa Jina la jumhuri ya Muungano, Kazi Ziendelee 🇹🇿